Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
2,775
Reaction score
2,750
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
 
Suala la SIMBA na UBINGWA haliepukiki.

Huo msemo wa fainali na medali za looser cup watabaki nao wenyewe.
 
Imani ni Kuwa na Uhakika wa Mambo yatariwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

Mungu yule aliyesema Kuwa Hawa Wamisri mnaowaona Leo kwa mkapa, hamtawaona Tena kwenye haya mashindano!

Ndiye Mungu huyo huyo! Atakayevusha kwa ushindi wa goli zaidi ya 3 tarehe ishirini!

Kwa mkapa ilikuwa ni safari ya kuvuka bahari ya Shamu!

Kule Zanzibar ni safari ya kuvuka mto wa Yordani.

Sisi tunajua ni Mungu ndiye aliye Msaada wetu!

Hatujaomba kucheza na Malaika ila tunamuomba Mungu atupe malaika wa kutupa ushindi!

Kwa Kuwa Imani tunayo! Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kubeba huu ubingwa.

Simba nguvu Moja!
 
Hii Dua moya kwa moya imefika kwa mwenyezi Mungu muweza wa yoteee

Sir. Makutupora msalimie rais wetu wa sisi ma jobless pro max 🤣
 
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Amka. Unaota. Hilo halitatokea.
 
Back
Top Bottom