Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Wote tuseme Ameeen....
 
Kiufundi wale jamaa wana ukuta mgumu sana siku hiyo aki ahoua waache mambo yao ya kuchezea nafasi, kila nafasi itakayopatikana itumike kikamilifu
 
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Hata sisi Yanga tumetinga nusu fainali ya kombe la shirikisho (crdb) kwa kishindo tukiifunga Stand United 8. 😆🤓
 
DR Mambo Jambo.

Huyu ndio mtu pekee ninayeweza kumsikiliza Tabiri zake Hapa JF.

Sisikilizagi Ujinga
Uongo na Umbea wenu.
Nasubiri utabiri wa Mambo Jambo
.
 
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Mkapa gani? Labda znz
 
Fainali
Simba vs Rs Berkane

Bingwa ni Simba
Medali kama za Yanga ni Rs Berkane😎
Simba hana uwezo wa kuwa na matokeo bora dhidi ya Berkane kwa mechi mbili, labda kufa kiume
 
Imani ni Kuwa na Uhakika wa Mambo yatariwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

Mungu yule aliyesema Kuwa Hawa Wamisri mnaowaona Leo kwa mkapa, hamtawaona Tena kwenye haya mashindano!

Ndiye Mungu huyo huyo! Atakayevusha kwa ushindi wa goli zaidi ya 3 tarehe ishirini!

Kwa mkapa ilikuwa ni safari ya kuvuka bahari ya Shamu!

Kule Zanzibar ni safari ya kuvuka mto wa Yordani.

Sisi tunajua ni Mungu ndiye aliye Msaada wetu!

Hatujaomba kucheza na Malaika ila tunamuomba Mungu atupe malaika wa kutupa ushindi!

Kwa Kuwa Imani tunayo! Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kubeba huu ubingwa.

Simba nguvu Moja!
Acha kumhusisha Mungu na ushirikina.
 
Simba hana uwezo wa kuwa na matokeo bora dhidi ya Berkane kwa mechi mbili, labda kufa kiume
😂😂😂😂😂
Hautaki Rs Berkane atwae medali zenu
 
DR Mambo Jambo anasemaje kuhusu hili?
😀😀😀 Hii Ngoma Haitabiriki kabisa 🤣🤣 Kwa sababu Iko Kisiwani😀
Ila Kwa maoni Yangu ya Haraka Haraka Nahisi Stellenbosch FC wanaweza Wakaanza Kumfunga Simba Goal Moja Simba Akarudisha.. Ikawa 1:1 halafu Dakika Za Jioni Sana Simba Ataongeza La Pili ikawa 2:1..

Ila Hayo ni mawazo yangu 😀🤣🤣🤣
 
Hii dokta mimi naona kama Simba tunapigwa, Sijui score board itasomaje ila naona tunakalishwa hii game.
 
Hii Unalosema Linawezekana Ndo maan nikasema Hii Mechi haitabiriki Asikudanganye Mtu ile ya mwanzo ilikuwa Nyepesi sana kuitabiri Ila Namba Ikishakuwa 6 huwa ni Ngumu maana Ina Positive na Negative so inaweza Ikalala kwa Simba Au ikalala kwa Stellen sema Tu dakika Za mwishoni ndo zitaamua
 
Namba sita ya numerology au astrology ?
 
Back
Top Bottom