muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,205
- 15,594
Wote tuseme Ameeen....Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Wivu na ujinga ndio unakusumbuaAmka. Unaota. Hilo halitatokea.
Amka dogo unaota.Wivu na ujinga ndio unakusumbua
Hata sisi Yanga tumetinga nusu fainali ya kombe la shirikisho (crdb) kwa kishindo tukiifunga Stand United 8. 😆🤓Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Mkapa gani? Labda znzGame ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Simba hana uwezo wa kuwa na matokeo bora dhidi ya Berkane kwa mechi mbili, labda kufa kiumeFainali
Simba vs Rs Berkane
Bingwa ni Simba
Medali kama za Yanga ni Rs Berkane😎
Acha kumhusisha Mungu na ushirikina.Imani ni Kuwa na Uhakika wa Mambo yatariwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Mungu yule aliyesema Kuwa Hawa Wamisri mnaowaona Leo kwa mkapa, hamtawaona Tena kwenye haya mashindano!
Ndiye Mungu huyo huyo! Atakayevusha kwa ushindi wa goli zaidi ya 3 tarehe ishirini!
Kwa mkapa ilikuwa ni safari ya kuvuka bahari ya Shamu!
Kule Zanzibar ni safari ya kuvuka mto wa Yordani.
Sisi tunajua ni Mungu ndiye aliye Msaada wetu!
Hatujaomba kucheza na Malaika ila tunamuomba Mungu atupe malaika wa kutupa ushindi!
Kwa Kuwa Imani tunayo! Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kubeba huu ubingwa.
Simba nguvu Moja!
Sio Kila homa ni maraliaAcha kumhusisha Mungu na ushirikina.
😂😂😂😂😂Simba hana uwezo wa kuwa na matokeo bora dhidi ya Berkane kwa mechi mbili, labda kufa kiume
😀😀😀 Hii Ngoma Haitabiriki kabisa 🤣🤣 Kwa sababu Iko Kisiwani😀DR Mambo Jambo anasemaje kuhusu hili?
Hii dokta mimi naona kama Simba tunapigwa, Sijui score board itasomaje ila naona tunakalishwa hii game.😀😀😀 Hii Ngoma Haitabiriki kabisa 🤣🤣 Kwa sababu Iko Kisiwani😀
Ila Kwa maoni Yangu ya Haraka Haraka Nahisi Stellenbosch FC wanaweza Wakaanza Kumfunga Simba Goal Moja Simba Akarudisha.. Ikawa 1:1 halafu Dakika Za Jioni Sana Simba Ataongeza La Pili ikawa 2:1..
Ila Hayo ni mawazo yangu 😀🤣🤣🤣
Hii Unalosema Linawezekana Ndo maan nikasema Hii Mechi haitabiriki Asikudanganye Mtu ile ya mwanzo ilikuwa Nyepesi sana kuitabiri Ila Namba Ikishakuwa 6 huwa ni Ngumu maana Ina Positive na Negative so inaweza Ikalala kwa Simba Au ikalala kwa Stellen sema Tu dakika Za mwishoni ndo zitaamuaHii dokta mimi naona kama Simba tunapigwa, Sijui score board itasomaje ila naona tunakalishwa hii game.
Namba sita ya numerology au astrology ?Hii Unalosema Linawezekana Ndo maan nikasema Hii Mechi haitabiriki Asikudanganye Mtu ile ya mwanzo ilikuwa Nyepesi sana kuitabiri Ila Namba Ikishakuwa 6 huwa ni Ngumu maana Ina Positive na Negative so inaweza Ikalala kwa Simba Au ikalala kwa Stellen sema Tu dakika Za mwishoni ndo zitaamua