Weka hata nyumba mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]... kwahiyo niweke mkeka wa laki 5 nimuue Simba?
Uwa kabisa,na usisafirishe🤣🤣🤣... kwahiyo niweke mkeka wa laki 5 nimuue Simba?
baba GOD saidia Jwaneng...eemeeen!Kwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana
Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89
Mpira umekwisha na Simba ametolewa Imeniuma lakini ndo hivyo hatuna jinsi, sisi wanasimba
Tarehe 2 March mtatazama marudio kwenye ulimwengu wa roho ni Simba 0- jwaneng 1
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana tuwape moyo simba washindeKwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana
Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89
Mpira umekwisha na Simba ametolewa Imeniuma lakini ndo hivyo hatuna jinsi, sisi wanasimba
Tarehe 2 March mtatazama marudio kwenye ulimwengu wa roho ni Simba 0- jwaneng 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheikh Yahya unazinguaKwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana
Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89
Mpira umekwisha na Simba ametolewa Imeniuma lakini ndo hivyo hatuna jinsi, sisi wanasimba
Tarehe 2 March mtatazama marudio kwenye ulimwengu wa roho ni Simba 0- jwaneng 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi umekwisha na matokeo ndo ivo hayatabadilikaSheikh Yahya unazingua
Umejiandaa vip na Inonga dayUlimweng wa roho my ass. Stupid fools.
We pumbavu si umesema mechi ishaisha , tujiandae na nini tena
Kutazama marudioWe pumbavu si umesema mechi ishaisha , tujiandae na nini tena