Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Attention seekerKwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana
Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89
Mpira umekwisha na Simba ametolewa Imeniuma lakini ndo hivyo hatuna jinsi, sisi wanasimba
Tarehe 2 March mtatazama marudio kwenye ulimwengu wa roho ni Simba 0- jwaneng 1
Sent using Jamii Forums mobile app