Simba atapigwa goli 1 na Jwaneng Gallaxy na kutolewa mashindanoni

Mwanga mkubwa wewe.
 
Ile timu hata ikicheza na Mashujaa Fc, bado Mashujaa wanashinda kwa ushindi mnono. Nitashangaa sana kama mbumbumbu fc hawataondoka na ushindi mnono.
 
Na apigiwe tu kama ngoma.
 
Simba akishinda wewe na wanganga wenzio mtakuwa ma gay
 
Weka ahadi ya kutoa mali yako isiyohamishika ili kama tusipofungwa tujue tunajilipaje....pumbaaaaaaaaavu (kwa sauti ya Ray kigosi)
 
Naiombea Simba ishinde Ili tukutane nusu fainal tumfanye daraja la kutupeleka fainal
Ili simba na yanga waweze kukutana kabla ya fainali lazima mmoja amalize wakwanza na mwingine amalize wapili, hadi sasa ni yanga pekee ndio anaweza kumaliza wakwanza kama atashinda game ya mwisho
 
Uzi wa kisimbe
 

Hebu rudia tena kuangalia huko kwenye ulimwengu wa roho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndoto
 
Mechi ikiwa droo, na mwenzie mwenye point 6 kama yeye akishinda, 5imba chaliii..!! Kifupi, 5imba anahitaji ushindi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee mlongooo. Hii ndo Simba na Robo ni yetuuu.
Unateseka ukiwa wapiiiii???
 
Ili simba na yanga waweze kukutana kabla ya fainali lazima mmoja amalize wakwanza na mwingine amalize wapili, hadi sasa ni yanga pekee ndio anaweza kumaliza wakwanza kama atashinda game ya mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekeshaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…