Simba atapigwa goli 1 na Jwaneng Gallaxy na kutolewa mashindanoni

Attention seeker
 
Mtoa post matokeo mpaka sasa unayajua?
 
Uangalie marudio huenda matokeo yakabadilika.
 
Upo mkuu
 
Kwenye ulimwengu wa roho tumepambana kumpa Simba ushindi ili afuzu lakini imeshindikana

Amefungwa goli dakika ya 73 kwa kichwa, huku Chama akikosa penalty dakika ya 89[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulimwengu wa roho[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakua ulimwengu wa Giza
 
Ndo maana mimi Ramli sipigi, afadhali nije na shida muitatue shida sio kuanza kuniambia shida hii imeletwa na huyu sjui huyu. Kuna Mipango ya Mungu jamani, shida zingine anaziruhusu ili zikusaidie.
 
sema jamii foroum jukwaa la michezo lina vilaza wengi sana Ni vile tu tunapenda soka hatuna Namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…