Simba atapigwa goli 1 na Jwaneng Gallaxy na kutolewa mashindanoni

Simba ina safu bora ya ulinzi mpaka sasa dhidi ya Yanga katika michuano hii kwa takwimu.

Simba watu wainaibeza tu,ila wana kitu.
 
Toa sadaka ya kujikamua kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi matokeo hapa nilipo wilayani Ngara umeme ulikatika Galaxy akiwa anaongoza goli 1.Vipi matokeo?Chama alikosa penalti?
Umeme ulirudi?Akili zikakurudia?
Wisdom is chasing you but you are always faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…