Simba bado haijaiva

Tunaposema hakuna wa kuthubutu kumuondoa Chama pale Simba tuna maamisha.
Simba bila Chama inahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.
Naiona nafasi ya tatu kwenye ligi Simba Hana mpinzani.
Hakika
 
Nyie Utopolo yaani Sie tunawasubiria kule Kwenye uzi Live update...!

Mmezunguuuuka mkaja kuanzisha uzi huku msapotiane..!

Muuza Matiki Maji Wenu mliyemtoa Argentina Kashasema Hana Kikosi kipana, Wengi Pale ni Maboga kichwani.

Mumtafutie Wachezaji, badala yake nyie Mnamuongeza Walevi..! Soon mtafungua Bar.
 
Sasa Kwa nini usiende kumsaidia Gamondi ile jana dhidi ya APR kama unaweza kujua matatizo ya jirani yako [emoji3]
Kwani mlimleta Benchika ili mchukue Mapinduzi cup?
 
Hiyo timu ya kina Mauya, Ngushi, Moloko, Zoazoa, Mzizi, Sheli etc ilifanya kipi cha maana cha kuelekea japo robo ya mnyama jana mbele ya Eldin Shaiboub?
Ilimpiga mtu 5
 
Tunacho kikosi cha kumoiga yoyote 5 bila
 
Unateseka ukiwa umechomekea blauz au umevaa msuli?
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…