Simba bado haijaiva

Simba bado haijaiva

Simba shida ni namba 10 saidoo sio creative japo ni mzur uwezo wa kufikria umepungua Hana uwezo w kuchezesha team na kupiga penetration passes plus utoto wa baleke
 
Ngoma hajwahi kuwa mzuri akikutana na timu inayokabia juu, Ngoma ni mwepesi Sana kunyanganywa mpira, Ngoma no mzuri kwa timu za karba hiyo... Kama umefuatilia mechi nyingi za ligi alizocheza utaelewa!. Ngoma n mzuri ila hawezi kuvaa majukum ya play maker wa timu ikawa salama. Muda utaongea usizubaishiwe na maponduzi cup hapa hamna timu zenye ushindani 😅
Ulimuona Ngoma kwenye mechi mbili dhidi ya Al Ahly na zile dhidi ya Wydad?au unaongea kwa chuki tu
 
Huwezi kuwa na timu ukawa huna play maker!!, Simba inatumia nguvu kubwa kupata matoke kuliko mbinu na ubunifu wa wachezaji. Hasa pale unapomkosa chama, timu imeamua kumtegemea Ngoma ambaye kiuhalisia Hilo jukumu haliwezi hasa anapokutana na timu inayokabia mstari wa juu. Simba bila kubebwa na waamzi ligi kuu msimu huu hawezi kuikwepa nafasi ya 3.
Na hiki ndicho kilitokea tarehe 5, Pacome na Maxi walikuwa wanakabia kwa juu. Ngoma ni mzuri sana sana ila hana watu wa kucheza nao.
 
Tunaposema hakuna wa kuthubutu kumuondoa Chama pale Simba tuna maanisha.

Simba bila Chama inahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.

Naiona nafasi ya tatu kwenye ligi Simba Hana mpinzani.
Watu hawaelewi bado hajapatikana mtu wa kuvivaa viatu vya chama hata saidoo hawezi
 
Ngoma hajwahi kuwa mzuri akikutana na timu inayokabia juu, Ngoma ni mwepesi Sana kunyanganywa mpira, Ngoma no mzuri kwa timu za karba hiyo... Kama umefuatilia mechi nyingi za ligi alizocheza utaelewa!. Ngoma n mzuri ila hawezi kuvaa majukum ya play maker wa timu ikawa salama. Muda utaongea usizubaishiwe na maponduzi cup hapa hamna timu zenye ushindani [emoji28]
Trust me broh, Simba bado timu hawana, uongozi unapambana ubebe kombe hili ili kuibua hamasa kwa mashabiki.
 
Trust me broh, Simba bado timu hawana, uongozi unapambana ubebe kombe hili ili kuibua hamasa kwa mashabiki.
Nyie wenye timu mpo wapiiii...mnajitoa ufahamu
 
Huwezi kuwa na timu ukawa huna play maker!!, Simba inatumia nguvu kubwa kupata matoke kuliko mbinu na ubunifu wa wachezaji. Hasa pale unapomkosa chama, timu imeamua kumtegemea Ngoma ambaye kiuhalisia Hilo jukumu haliwezi hasa anapokutana na timu inayokabia mstari wa juu. Simba bila kubebwa na waamzi ligi kuu msimu huu hawezi kuikwepa nafasi ya 3.
Kweli kabisa
 
Mpaka mseme yote hamjasema bado!

Simba [emoji123] moya!

Kila thread ni simba. Hii ndiyo maana ya brand kubwa afrika mashariki na Afrika.

Hamna cha kuandika kuhusu Yanga. Uataandika nini.
1-5
 
Siongelei mapinduzi cup ila hata hii mapinduzi cup mchezaji mwenye skills utamuona. Uchezaji haubadiliki ni ule ule tofauti ni viwango vya timu pinzani. Bado Ngoma anabaki kuwa playmaker mzuri sababu ana pasi sahihi na maamuzi sahihi. Siyo defender kama natural defender lakini kukaa kwake kwenye nafasi yake kunatoa msaada mkubwa kwa defender na strikers pia . Rudia mechi dhidi ya wydad mechi zote mbili home na away. Jamaa kaifanya simba itulie na ubora mwingine si mtu wa kukaa na mpira hii ni muhimu kwa modern football. Hata goli la jana alichofanya ni kuupiga mpira kwenye nafasi tu. Binafsi naona asogee namba 10
😅😅😅
Mkuu umeona nilichokwambia Jana kuhusu Ngoma!!, Timu ikikabiwa juu hana uwezo wowote wakudrive timu...
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu umeona nilichokwambia Jana kuhusu Ngoma!!, Timu ikikabiwa juu hana uwezo wowote wakudrive timu...

Makosa ya Kennedy kawapa goli hapa Ngoma hahusiki , Kanoute kapoteza mipira mingi sana, Saido kama kawaida akiwa na mpira hajui afanye nini . Kuanza na viungo wengi bila natural striker imeipa tabu simba. Ngoma mtoe kwenye equation ya simba kutocheza vizuri leo. Ukiweka rating sahihi Ngoma kacheza vizuri kuliko mchezaji yeyote wa simba. Mbali na game plan complicated aliyoanza nayo kocha lakini pasi za ngoma bado zimeonekana na alivyorudi ku defend second half bado kachafua sana .
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu umeona nilichokwambia Jana kuhusu Ngoma!!, Timu ikikabiwa juu hana uwezo wowote wakudrive timu...
Sahihi
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Makosa ya Kennedy kawapa goli hapa Ngoma hahusiki , Kanoute kapoteza mipira mingi sana, Saido kama kawaida akiwa na mpira hajui afanye nini . Kuanza na viungo wengi bila natural striker imeipa tabu simba. Ngoma mtoe kwenye equation ya simba kutocheza vizuri leo. Ukiweka rating sahihi Ngoma kacheza vizuri kuliko mchezaji yeyote wa simba. Mbali na game plan complicated aliyoanza nayo kocha lakini pasi za ngoma bado zimeonekana na alivyorudi ku defend second half bado kachafua sana .
😅😅😅🤣 Kumbe kabeleke sio forward asili!, Jana nilikwambia Ngoma akikutana na timu inayokabia mstari wa juu hana uwezo wowote na haonekani!. Hii itamghalim Benchika Kama atamtegea Ngoma ndio awe play maker wa timu.... Hana ubinifu na hawezi kudrive timu Kama kiungo....all in all pengo la chama litamtesema Benchika japo anajitahidi kumtoa kwenye mstari kwasababu zake bali sio kiwango...
 
Back
Top Bottom