Mr specelist
Senior Member
- Dec 9, 2021
- 171
- 228
MmmmhJitu la utopongo limeandika kwa hasira san[emoji16]
Bure kabisaMashabiki wa Simba ni bure kabisa, walivyo wapuuzi washasahau tabu zoote na shida walizonazo kwa furaha ya Jana na kwa ushindi wao mwembamba wa leo katika kombe hili la mbuzi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Huyo Sarr tumepigwa aisee ni pacha wa SawadogoHuku analetwa Babacar Sarr...
Huku analetwa 'Ahmada Amelewa'....wapi na Wapi.?
Wewe ni Simba?Ubunifu bado mdogo sana, timu ina-struggle sana kutengeneza nafasi. Aidha, back passes ni nyingi mno. Kwa ushindani wa mwaka huu kwenye ligi, wafanye kazi ya ziada kumaliza nafasi ya tatu
Mbovu zote zipo dar...Mbovu sana
Umeshataja kwamba kwa timu ya wakina Mauya, ngushi, moloko, kumbe unajua ni yanga ipi imecheza mapinduzi!! Sasa linganisha na timu yako iliyoweka first eleven yake yote na unapata tabu dhidi ya timu Kama jamhuri!Hiyo timu ya kina Mauya, Ngushi, Moloko, Zoazoa, Mzizi, Sheli etc ilifanya kipi cha maana cha kuelekea japo robo ya mnyama jana mbele ya Eldin Shaiboub?
Wale maboga ndio first eleven yenu uko ukoloni na mkicheza nao wale mnatandikwa Kama kawaida, jamhuri tu inawajambisha mkiwa na first eleven yenu vipi mkipewa maboga ya yanga itakuwaje?Nyie Utopolo yaani Sie tunawasubiria kule Kwenye uzi Live update...!
Mmezunguuuuka mkaja kuanzisha uzi huku msapotiane..!
Muuza Matiki Maji Wenu mliyemtoa Argentina Kashasema Hana Kikosi kipana, Wengi Pale ni Maboga kichwani.
Mumtafutie Wachezaji, badala yake nyie Mnamuongeza Walevi..! Soon mtafungua Bar.
Uko sahihiNi kweli timu inakosa ubunifu pale mbele na mbaya zaidi benchi la ufundi linategemea Saidoo ndio afanye hiyo kazi. Kwa mtizamo wangu nafikiri ni wakati sasa wa benchi la ufundi kuanza kuwaamini Miquisone au Onana au pia ikitokea Kramo kupona haraka kucheza nyuma ya mshambuliaji wa kati. Ukiangalia mpira kiufundi sana Saidoo siku zote huwa anaikaba Simba pale mbele badala ya kuisaidia. Nafasi ya mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa kati (namba 10) inatakiwa mchezaji mwenye kasi, nguvu, mashuti makali tena ya kushtukiza, ubunifu, uwezo mkubwa wa kupunguza wachezaji wa timu pinzani wawili au watatu kwa chenga tena kwa kasi. Uwanjani huyu ndio daraja la mwisho kabisa kati ya viungo wa kati na mshambuliaji wa kati pamoja na mawinga.
Saido ana ubinafsi mno analazimisha afunge yeye mwenyewe, anachenga moja tena ya kizamani mno ambayo akiguswa lazima aende chini, kupiga mashuti ambayo anajiandaa kabisa mpaka kipa anajua kuwa anapiaga, kucheza "one two" halafu afungue apewe tena ni shida, kuwahi "second balls " baada ya Baleke kuruka na mabeki wa timu pinzani ni shida, kupunguza wachezaji wa timu pinzani wawili/watatu kwa chenga kwa mpigo hawezi, kukokota mpira kwa kasi kuelekea lango la adui ni shida, n.k . Yeye anachokimbilia tu ni kupiga mipira iliyokufa na kona ambayo nayo mingi anataka afunge mwenyewe. Kiufupi sana ukimwangalia Saidoo hachezi kwa niaba ya timu badala yake anacheza ili yeye aonekane na mbaya zaidi sasa hivi analazimisha vitu uwanjani ili uongozi umpe mkataba mpya bila kujali anaigharimu timu.
Ni mtizamo tu.
Nasikitika kukwambia kuwa hujui Mpira unaongozwa na Chuki zako dhidi ya Saidoo.Ni kweli timu inakosa ubunifu pale mbele na mbaya zaidi benchi la ufundi linategemea Saidoo ndio afanye hiyo kazi. Kwa mtizamo wangu nafikiri ni wakati sasa wa benchi la ufundi kuanza kuwaamini Miquisone au Onana au pia ikitokea Kramo kupona haraka kucheza nyuma ya mshambuliaji wa kati. Ukiangalia mpira kiufundi sana Saidoo siku zote huwa anaikaba Simba pale mbele badala ya kuisaidia. Nafasi ya mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa kati (namba 10) inatakiwa mchezaji mwenye kasi, nguvu, mashuti makali tena ya kushtukiza, ubunifu, uwezo mkubwa wa kupunguza wachezaji wa timu pinzani wawili au watatu kwa chenga tena kwa kasi. Uwanjani huyu ndio daraja la mwisho kabisa kati ya viungo wa kati na mshambuliaji wa kati pamoja na mawinga.
Saido ana ubinafsi mno analazimisha afunge yeye mwenyewe, anachenga moja tena ya kizamani mno ambayo akiguswa lazima aende chini, kupiga mashuti ambayo anajiandaa kabisa mpaka kipa anajua kuwa anapiaga, kucheza "one two" halafu afungue apewe tena ni shida, kuwahi "second balls " baada ya Baleke kuruka na mabeki wa timu pinzani ni shida, kupunguza wachezaji wa timu pinzani wawili/watatu kwa chenga kwa mpigo hawezi, kukokota mpira kwa kasi kuelekea lango la adui ni shida, n.k . Yeye anachokimbilia tu ni kupiga mipira iliyokufa na kona ambayo nayo mingi anataka afunge mwenyewe. Kiufupi sana ukimwangalia Saidoo hachezi kwa niaba ya timu badala yake anacheza ili yeye aonekane na mbaya zaidi sasa hivi analazimisha vitu uwanjani ili uongozi umpe mkataba mpya bila kujali anaigharimu timu.
Ni mtizamo tu.
Huwa mnaangalia mpira wakuu?Uko sahihi
Nililisema hili mapema sana wakati ligi inaanza
Saidoo ndie mchezaji anaeikosesha magoli Simba SC, zile mechi za kimataifa tulizotoa droo tungeshinda kama asingekuepo hata Ile mechi na Waydad Kwa mkapa kukosekana kwake pale mbele ndio kulisababisha timu ipate matokeo.
Naheshimu sana maoni na mtizamo wako kama ambavyo unapaswa kuheshimu maoni na mtizamo wangu.Nasikitika kukwambia kuwa hujui Mpira unaongozwa na Chuki zako dhidi ya Saidoo.
Pole mkuu.
Mm binafs nilikimbiaNiliacha kuangalia mechi half time, yaani unaangalia mechi timi zote mbili hauoni hata goli litatokea wapi
Hapana nimeshindwa kuheshimu mawazo yako.Naheshimu sana maoni na mtizamo wako kama ambavyo unapaswa kuheshimu maoni na mtizamo wangu.
Basi endeleeni kumngáng;ania huyo Saidoo mpaka mwisho mwa msimu na muongezeeni mkataba halafu turudi hapa mwishoni mwa msimu tufunge mahesabu. Kwa kifupi Simba kama inataka ikose ubingwa wa ligi kuu na iishie robo fainali ya CAF kama kawaida yake basi iendelee kuwategemea Saidoo na Boko fullstop.Hapana nimeshindwa kuheshimu mawazo yako.
Kwani yamejawa na Chuki dhidi ya Saidoo.
Sina Tatizo na wewe ila nna tatizo na Ulichokisema.
Tumeshajua migogoro ya Simba ndio inawapa furaha safari hii hamuipata ng'oo. Badala ya kuumia na goli 3 za APR unashabikia eti ushindi mwembamba. Hata Yanga ingeshinda ushindi mwembamba ingekuwa nusu fainali SASA hivi.Mashabiki wa Simba ni bure kabisa, walivyo wapuuzi washasahau tabu zoote na shida walizonazo kwa furaha ya Jana na kwa ushindi wao mwembamba wa leo katika kombe hili la mbuzi
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ni kweli timu inakosa ubunifu pale mbele na mbaya zaidi benchi la ufundi linategemea Saidoo ndio afanye hiyo kazi. Kwa mtizamo wangu nafikiri ni wakati sasa wa benchi la ufundi kuanza kuwaamini Miquisone au Onana au pia ikitokea Kramo kupona haraka kucheza nyuma ya mshambuliaji wa kati. Ukiangalia mpira kiufundi sana Saidoo siku zote huwa anaikaba Simba pale mbele badala ya kuisaidia. Nafasi ya mshambuliaji nyuma ya mshambuliaji wa kati (namba 10) inatakiwa mchezaji mwenye kasi, nguvu, mashuti makali tena ya kushtukiza, ubunifu, uwezo mkubwa wa kupunguza wachezaji wa timu pinzani wawili au watatu kwa chenga tena kwa kasi. Uwanjani huyu ndio daraja la mwisho kabisa kati ya viungo wa kati na mshambuliaji wa kati pamoja na mawinga.