Simba bado haijaiva

Bora ww umeona
 
Umeshataja kwamba kwa timu ya wakina Mauya, ngushi, moloko, kumbe unajua ni yanga ipi imecheza mapinduzi!! Sasa linganisha na timu yako iliyoweka first eleven yake yote na unapata tabu dhidi ya timu Kama jamhuri!
Wameweka kikosi cha kwanza ili ipate matokeo iwafurahishe mashabiki wao.
 
Simba hatimaye amepatikana mtu mmoja mwenye akili, na si mwingine bali ni Joo Wane
 
Huwezi kuwa na timu ukawa huna play maker!!, Simba inatumia nguvu kubwa kupata matoke kuliko mbinu na ubunifu wa wachezaji. Hasa pale unapomkosa chama, timu imeamua kumtegemea Ngoma ambaye kiuhalisia Hilo jukumu haliwezi hasa anapokutana na timu inayokabia mstari wa juu. Simba bila kubebwa na waamzi ligi kuu msimu huu hawezi kuikwepa nafasi ya 3.
 

Ngoma anaweza sana tu,Mtizame vizuri pasi zake hata onana utagundua washambuliaji ndo hawakai kwenye nafasi zao vizuri. Afterall No 10 ni saido ambae nae muda mwingi anakuwa off. Nachoona kocha anajaribu ku stabilize line ya beki ili timu isishambuliwe sana kitu ambacho naona anafanikiwa. Changamoto ni transition kwamba simba ikishapata mpira inaupeleka vipi haraka mpaka goli la mpinzani , hapa ndo changamoto ilipo maana kule mbele hawakai kwenye nafasi. Nina imani na usajiri wa Chasambi akishaondoa ushamba na woga atakuwa mchezaji hatari sana ndani ya mfumo huu
 
Ngoma hajwahi kuwa mzuri akikutana na timu inayokabia juu, Ngoma ni mwepesi Sana kunyanganywa mpira, Ngoma no mzuri kwa timu za karba hiyo... Kama umefuatilia mechi nyingi za ligi alizocheza utaelewa!. Ngoma n mzuri ila hawezi kuvaa majukum ya play maker wa timu ikawa salama. Muda utaongea usizubaishiwe na maponduzi cup hapa hamna timu zenye ushindani πŸ˜…
 
Ubunifu bado mdogo sana, timu ina-struggle sana kutengeneza nafasi. Aidha, back passes ni nyingi mno. Kwa ushindani wa mwaka huu kwenye ligi, wafanye kazi ya ziada kumaliza nafasi ya tatu

Wafanye kazi kumaliza mafasi ya nne
 

Siongelei mapinduzi cup ila hata hii mapinduzi cup mchezaji mwenye skills utamuona. Uchezaji haubadiliki ni ule ule tofauti ni viwango vya timu pinzani. Bado Ngoma anabaki kuwa playmaker mzuri sababu ana pasi sahihi na maamuzi sahihi. Siyo defender kama natural defender lakini kukaa kwake kwenye nafasi yake kunatoa msaada mkubwa kwa defender na strikers pia . Rudia mechi dhidi ya wydad mechi zote mbili home na away. Jamaa kaifanya simba itulie na ubora mwingine si mtu wa kukaa na mpira hii ni muhimu kwa modern football. Hata goli la jana alichofanya ni kuupiga mpira kwenye nafasi tu. Binafsi naona asogee namba 10
 
Ubunifu bado mdogo sana, timu ina-struggle sana kutengeneza nafasi. Aidha, back passes ni nyingi mno. Kwa ushindani wa mwaka huu kwenye ligi, wafanye kazi ya ziada kumaliza nafasi ya tatu
Wewe uliyeiva mbona unaliwa kwa ndimu.
 
Tunaposema hakuna wa kuthubutu kumuondoa Chama pale Simba tuna maanisha.

Simba bila Chama inahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.

Naiona nafasi ya tatu kwenye ligi Simba Hana mpinzani.
Mpaka mseme yote hamjasema bado!

Simba [emoji123] moya!

Kila thread ni simba. Hii ndiyo maana ya brand kubwa afrika mashariki na Afrika.

Hamna cha kuandika kuhusu Yanga. Uataandika nini.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mwezi wa 2 mwanzoni mna mechi ya ligi na Azam... Utarudi kufukua hii komenti.... Ngoma hawezi kuwa play maker timu ikapata matokeo sawia... Mechi na whydad mliyoshinda Dar Chama kaplay role kubwa sana... Ndio alikuwa goal creater.
 
Tunaposema hakuna wa kuthubutu kumuondoa Chama pale Simba tuna maanisha.

Simba bila Chama inahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.

Naiona nafasi ya tatu kwenye ligi Simba Hana mpinzani.
APR 3-1 UTOPOLO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…