Simba bado haijaiva

Simba shida ni namba 10 saidoo sio creative japo ni mzur uwezo wa kufikria umepungua Hana uwezo w kuchezesha team na kupiga penetration passes plus utoto wa baleke
 
Ulimuona Ngoma kwenye mechi mbili dhidi ya Al Ahly na zile dhidi ya Wydad?au unaongea kwa chuki tu
 
Na hiki ndicho kilitokea tarehe 5, Pacome na Maxi walikuwa wanakabia kwa juu. Ngoma ni mzuri sana sana ila hana watu wa kucheza nao.
 
Tunaposema hakuna wa kuthubutu kumuondoa Chama pale Simba tuna maanisha.

Simba bila Chama inahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.

Naiona nafasi ya tatu kwenye ligi Simba Hana mpinzani.
Watu hawaelewi bado hajapatikana mtu wa kuvivaa viatu vya chama hata saidoo hawezi
 
Trust me broh, Simba bado timu hawana, uongozi unapambana ubebe kombe hili ili kuibua hamasa kwa mashabiki.
 
Trust me broh, Simba bado timu hawana, uongozi unapambana ubebe kombe hili ili kuibua hamasa kwa mashabiki.
Nyie wenye timu mpo wapiiii...mnajitoa ufahamu
 
Kweli kabisa
 
Mpaka mseme yote hamjasema bado!

Simba [emoji123] moya!

Kila thread ni simba. Hii ndiyo maana ya brand kubwa afrika mashariki na Afrika.

Hamna cha kuandika kuhusu Yanga. Uataandika nini.
1-5
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mkuu umeona nilichokwambia Jana kuhusu Ngoma!!, Timu ikikabiwa juu hana uwezo wowote wakudrive timu...
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu umeona nilichokwambia Jana kuhusu Ngoma!!, Timu ikikabiwa juu hana uwezo wowote wakudrive timu...

Makosa ya Kennedy kawapa goli hapa Ngoma hahusiki , Kanoute kapoteza mipira mingi sana, Saido kama kawaida akiwa na mpira hajui afanye nini . Kuanza na viungo wengi bila natural striker imeipa tabu simba. Ngoma mtoe kwenye equation ya simba kutocheza vizuri leo. Ukiweka rating sahihi Ngoma kacheza vizuri kuliko mchezaji yeyote wa simba. Mbali na game plan complicated aliyoanza nayo kocha lakini pasi za ngoma bado zimeonekana na alivyorudi ku defend second half bado kachafua sana .
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu umeona nilichokwambia Jana kuhusu Ngoma!!, Timu ikikabiwa juu hana uwezo wowote wakudrive timu...
Sahihi
 
Reactions: Exy
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£ Kumbe kabeleke sio forward asili!, Jana nilikwambia Ngoma akikutana na timu inayokabia mstari wa juu hana uwezo wowote na haonekani!. Hii itamghalim Benchika Kama atamtegea Ngoma ndio awe play maker wa timu.... Hana ubinifu na hawezi kudrive timu Kama kiungo....all in all pengo la chama litamtesema Benchika japo anajitahidi kumtoa kwenye mstari kwasababu zake bali sio kiwango...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…