Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Zile 5 bado zinawalevya.Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy hasa eneo la mwisho ni shida na pia bado wachezaji wana ubutu wa macho.
Yaani sioni wanachokicheza hapa zaidi ya butua butua. Sijaona sababu za kuwatoa Mohammed na Phiri kwa hawa walioletwaZile 5 bado zinawalevya.
Katika kipindi ambacho John Boko atapata nafasi ya kucheza dk 90 ni Sasa, kwa washambuliaji wapya hakuna wa kumweka bench.Nimeona washambuliaji walioletwa kuchukua nafasi za phiri na baleke nimebaki ninacheka tu, Hawa ndio tegemeo kwa Simba? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nyie mmetuchosha na hizo tano..mbona mnakua washamba sana? Hizo 5 ndo wakwanza kufunga?Zile 5 bado zinawalevya.
Kwendraaa....wivu utawaua..Katika kipindi ambacho John Boko atapata nafasi ya kucheza dk 90 ni Sasa, kwa washambuliaji wapya hakuna wa kumweka bench.
Mchezaji pekee atakaye pata nafasi ni karabaka si kwakua kafunga goli, ni mchezaji anaye cheza kwa akili na Kasi aliyonayo ita msaidia Sana.
Waliobakia siwaoni katika dirisha lijalo la uswakiendelea kuwepo.
Kwani mnaumia toka wapi?.Yani mna wivu mpk mnakera...huyo Jobe huyo atawafanya kitu mbaya..Nimeona washambuliaji walioletwa kuchukua nafasi za phiri na baleke nimebaki ninacheka tu, Hawa ndio tegemeo kwa Simba? 🤣🤣🤣🤣
Walishindwa Phiri na Baleke kwa pamoja mkala 5G ndio ataweza huyo mgaigai mmoja.Kwani mnaumia toka wapi?.Yani mna wivu mpk mnakera...huyo Jobe huyo atawafanya kitu mbaya..
Hiyo pisi aijui mpira achana nayoWalishindwa Phiri na Baleke kwa pamoja mkala 5G ndio ataweza huyo mgaigai mmoja.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Ulitakaje? Au wewe ndiyo miongoni mwa wale ambao siku hizi wanaitwa wamongoli?? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo
Hahaaaaa mngekuwa bora msingekula mkono wa nyani nyie mabumunda.Kitu kinachowatesa Utopolo, Simba bado Wapo gado...
Walitegemea uto Wakiwa juu ,Simba iwe imetepeta kama Wao enzi za Papaa Zahera..! Lkn wapiiii , Mnyama bado ni Bora, Bora Bora sana Kiasi Cha kuwa 7 bora Afrika.. hiki kinawaumiza Sana... Imebaki propaganda za mpira mbovu..!
Uto Vumilieni tu, ndio Soka lilivyo..