Simba bado kuna mgogoro, usipotatuliwa Horoya watatutia aibu kwa Mkapa kama tulivyofanyiwa kwa Galaxy Gwaneng

Simba bado kuna mgogoro, usipotatuliwa Horoya watatutia aibu kwa Mkapa kama tulivyofanyiwa kwa Galaxy Gwaneng

Aiseeh unahangaika sana, wewe kila saa unawaza kuanzisha nyuzi tu[emoji1].
 
Dah, we acha t
Ilikuwa 'kwa Viper' hamtoki! Mpaka nao wakajiamini, kuwa .pamoja na kufungwa kwao, watashinda Dar!
Hao Viper wamefungwa,badala ya kuwalaumu kwa nini hawakumfunga Simba, mmehamia kuwa Simba ilicheza mchezo wa hali ya chini sana.
Na sasa mmehamia kwa Horoya! Tena, imekuwa vizuri, Mabingwa wa kupokea wageni, nao wapo mashindanoni. Kinyume chake, mbona wangepokelewa saanaa!
 
Back
Top Bottom