Ilikuwa 'kwa Viper' hamtoki! Mpaka nao wakajiamini, kuwa .pamoja na kufungwa kwao, watashinda Dar!
Hao Viper wamefungwa,badala ya kuwalaumu kwa nini hawakumfunga Simba, mmehamia kuwa Simba ilicheza mchezo wa hali ya chini sana.
Na sasa mmehamia kwa Horoya! Tena, imekuwa vizuri, Mabingwa wa kupokea wageni, nao wapo mashindanoni. Kinyume chake, mbona wangepokelewa saanaa!