Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
- Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
- Wapo final CAFCCL
- Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
- Kufa kiume Cup (Mabingwa)
- Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
- Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.