Simba bado ni Giant kuliko Yanga msimu huu!

Bado ni Giant kwa sbb furaha yenu haifiki kileleni bila kuiongelea Simba...
Mtakua matured kama mtafurahi bila kuihusisha kwny midomo yenu....
Ni Simba ndio wanajifananisha na Yanga, lakini uhalisia unajulikana, na dunia nzima inaelewa klabu kubwa Tanzania ni ipi.
 
Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.

Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
  1. Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
  2. Wapo final CAFCCL
  3. Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
  1. Kufa kiume Cup (Mabingwa)
  2. Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
  3. Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.

Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Bosi wao Mo kaipongeza Yanga alafu yule jamaa yao musemaji wa kaulimbiu za KUFA KIUME anaumia na kutamka makolokolo mengi.
 
Bado ni Giant kwa sbb furaha yenu haifiki kileleni bila kuiongelea Simba...
Mtakua matured kama mtafurahi bila kuihusisha kwny midomo yenu....
Makolo mmepagawa mnachukua Hadi utani [emoji23][emoji38]
 
Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
Ni mafanikio maana Yanga anacheza kombe la losers wala si Klabu Bingwa ya Africa "kiumeni" [emoji2960]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
Hayo ni mafanikio pia...
Lakini Kwa Yanga yasingekua mafanikio ya kujivunia...
Ngoja nikwambie kitu mfano Yanga akishindwa kuchukua kombe la shirikisho, bado yatakua ni mafanikio ya kufika Fainali lakini si ya kujivunia unajua Kwanini?

Mafanikio halisi na ya kujivunia n kubeba kombe only that..!
USM Alger alifika Fainali CAF champions League lakini hawezi jivunia kama vile akifanikiwa kubeba hili kombe.

Ngoja nikupe elimu ndogo..
Kwenye mashindano yote mshindi hua ni mmoja tu, wanaofatia wote ni washindwa (failures) japo huitwa mshindi wa pili, wa tatu, wa nne, n.k
Lakini kitu kibaya zaidi jua kua mshindi wa pili ndiye mshindwa wa Kwanza! Mfano kwenye NBC Premier League Simba ndio mshindwa wa Kwanza.. ndo maana hawezi kujivunia, lakini pia hii huchagizwa na aina ya club mathalani, ingekua Azam ndo mshindi wa pili kwenye ligi na pia kafika robo CAF champions League basi yangekua mafanikio makubwa sana
 
Sikiliza wewe,
Yanga kimataifa msimu huu imefanikiwa sana hata isipochukua kombe. Yanga wamekuwa wakiishia hatua za mwanzo tu mashindano ya CAF misimu ya nyuma. Msimu huu wamefanya mambo makubwa sana. Kama we ni mwanayanga na unayakataa haya mafanikio basi hujui football. Simba wameset standand kwenye mashindano ya CAF kwa miaka ya hivi karibuni. Robo fainali kwao inaonekana siyo mafanikio tena sababu wameshazoea kufikia hiyo hatua mara nyingi. Yanga ikiendelea kufanya vizuri misimu ijayo itafikia standard ya Simba kwenye mashindano ya CAF. Football is not boxing.
Levels zinatafutwa kwa consistence. Yanga wakiweza kupambana na matimu makubwa wakabakiza wachezaji wao wazuri na kocha wanaweza kufika mbali sana kwenye CAF competitions na rankings. Sina hakika kama ubavu huo wanao.
Hayo ni mafanikio pia...
Lakini Kwa Yanga yasingekua mafanikio ya kujivunia...
Ngoja nikwambie kitu mfano Yanga akishindwa kuchukua kombe la shirikisho, bado yatakua ni mafanikio ya kufika Fainali lakini si ya kujivunia unajua Kwanini?

Mafanikio halisi na ya kujivunia n kubeba kombe only that..!
USM Alger alifika Fainali CAF champions League lakini hawezi jivunia kama vile akifanikiwa kubeba hili kombe.

Ngoja nikupe elimu ndogo..
Kwenye mashindano yote mshindi hua ni mmoja tu, wanaofatia wote ni washindwa (failures) japo huitwa mshindi wa pili, wa tatu, wa nne, n.k
Lakini kitu kibaya zaidi jua kua mshindi wa pili ndiye mshindwa wa Kwanza! Mfano kwenye NBC Premier League Simba ndio mshindwa wa Kwanza.. ndo maana hawezi kujivunia, lakini pia hii huchagizwa na aina ya club mathalani, ingekua Azam ndo mshindi wa pili kwenye ligi na pia kafika robo CAF champions League basi yangekua mafanikio makubwa sana
 
Hapa tena kwenye kuelewa maana ya mafanikio umeenda chaka.
Sikia, Mafanikio ni kufikia malengo. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufika hatua za makundi kwenye mashindano ya CAF. Ametimiza lengo na kupitiliza hadi kufika fainali. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Yanga kimataifa. Kwa mashindano ya ndani Yanga aliweka malengo ya kuwa bingwa wa ligi kuu. Kachukua ndoo haya ni mafanikio. Tofauti na Yanga, simba aliweka malengo kutwaa taji la ligi kuu na kufikia nusu fainali kwenye CAF CL. Hapa kafail kotekote. Narudia tena, mafanikio ni kufikia malengo. Wala siyo lazima kuchukua kikombe

Mi huwa najiuliza sana hivi hii nchi Kuna Simba tu maana Kila Uzi ni Simba ,Simba .
Why asisemwe Azam ,Namungo, Singida big star?
Naanza kuamin Sasa ukiona demu mmeachana na hakauk kukusema sema jua huyo anakuelewa Ile mbaya na anajua una umuhimu sana kwenye maisha yake .
 
Hilo sio swali, robo fainali inakupeleka wapi sasa? hamjaacha tu mambo ya tulifika final mashudi abiola, mafanikio taji babu taji.
Sisi tunatunza tu hizi risit zenu ,mkikosa kombe msijeanza ooh tuna mafanikio tumefika fainal,makubaliano hapa mafanikio ni had kombe mkikosa hili kombe mkae kimya sasa .
Na inshallah mtalikosa maana mna mategemeo mengi sana
 
Yanga huwa hawakosei kitu. Wakikosea ujue wamekuonea huruma. haah!
 
Hapa tena kwenye kuelewa maana ya mafanikio umeenda chaka.
Sikia, Mafanikio ni kufikia malengo. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufika hatua za makundi kwenye mashindano ya CAF. Ametimiza lengo na kupitiliza hadi kufika fainali. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Yanga kimataifa. Kwa mashindano ya ndani Yanga aliweka malengo ya kuwa bingwa wa ligi kuu. Kachukua ndoo haya ni mafanikio. Tofauti na Yanga, simba aliweka malengo kutwaa taji la ligi kuu na kufikia nusu fainali kwenye CAF CL. Hapa kafail kotekote. Narudia tena, mafanikio ni kufikia malengo. Wala siyo lazima kuchukua kikombe
Mafanikio ni kombe Mzee kubali au kataa Leo hii mazembe anaheshimika Kwa sababu ya makombe..

Yanga SC msimu huu malengo yalikua kufika makundi kombe gani? Sio shirikisho Mzee maana hata Yanga ya Manji walifika tena mara mbili..

Ili Yanga ajivunie mafanikio ni lazima ashinde kombe hili tofauti na hapo Simba atakua na hoja na Ile Fainali yake ya mwaka 1993..!

Kubali kataa mafanikio ni kombe... Hakuna haja ya kupindisha maneno.. Mimi ni Yanga na siwezi kubeza Yanga kufika Fainali ni hatua kubwa lakini mafanikio ambayo Mimi nikiwa Kwa wajomba zangu pale Kenya au Kwa shemeji zangu Kule Zambia ni kuchukua kombe...

Itazame Man city inalitafuta kombe la UEFA CHAMPION LEAGUE Kwa bidii kubwa Sana. Washafika Fainali lakini Nani analikumbuka Hilo??? Mashabiki wa city wanaweza kuwatambia arsenal lakini sio Liverpool, Chelsea au man u! Unajua Kwanini? Hawana kombe la ulaya..

Kwahiyo elewa mi binafsi na furaha na pia ni faraja kubwa kuona Yanga imetinga Fainali lakini mafikio halisi NI kombe tu mzee
 
Hapa tena kwenye kuelewa maana ya mafanikio umeenda chaka.
Sikia, Mafanikio ni kufikia malengo. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufika hatua za makundi kwenye mashindano ya CAF. Ametimiza lengo na kupitiliza hadi kufika fainali. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Yanga kimataifa. Kwa mashindano ya ndani Yanga aliweka malengo ya kuwa bingwa wa ligi kuu. Kachukua ndoo haya ni mafanikio. Tofauti na Yanga, simba aliweka malengo kutwaa taji la ligi kuu na kufikia nusu fainali kwenye CAF CL. Hapa kafail kotekote. Narudia tena, mafanikio ni kufikia malengo. Wala siyo lazima kuchukua kikombe
Mnashiikilia mashindano ya CAF!!!

Malengo yenu ni mfike makundi club bingwa sio huko mlipo. Yani leo hii Sevilla akifanikiwa kuingia fainali ni bora kuliko Madrid aliyetolewa UEFA champion league?

Kwanza mshindi wa Europa ana qualify kwaajili ya UEFA champion league
 
Nasemajeeee Athumaniiii maneno kidogoooo mpira mwingi🤣🤣
 
Mnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Sasa na wewe si umuwekee yale majedwali yaliyotengenezwa na yule kiongozi wenu somebody Magori, kwa ajili ya kumlingishia!!
 
Back
Top Bottom