Ni Simba ndio wanajifananisha na Yanga, lakini uhalisia unajulikana, na dunia nzima inaelewa klabu kubwa Tanzania ni ipi.Bado ni Giant kwa sbb furaha yenu haifiki kileleni bila kuiongelea Simba...
Mtakua matured kama mtafurahi bila kuihusisha kwny midomo yenu....
Bosi wao Mo kaipongeza Yanga alafu yule jamaa yao musemaji wa kaulimbiu za KUFA KIUME anaumia na kutamka makolokolo mengi.Ukweli usemwe, Simba bado ni klabu yenye mafanikio Afrikla msimu huu kama siku zote kuifananisha na Yanga ni dharau.
Yanga ni kiteam kidogo sana, vi mafanikio walivyopata ni vidogo sana;
Ukiangalia unaona wazi ni upuuzi kuwaweka kundi moja na giant Simba hebu ona mafanikio yao makubwa msimu huu inatisha sanaa!
- Mabingwa mara 2 mfululizo wa NBC
- Wapo final CAFCCL
- Wapo pia fa na possibility kubeba tena ni kubwa
Wito wangu Yanga waache kujifananisha na Simba yenye ma star majina makubwa kama Kibu D, Kapama, Kyombo na mshambuliaji hatari John Bocco Papaa.
- Kufa kiume Cup (Mabingwa)
- Kombe la mwakarobo (mafanikio makubwa)
- Kombe la Inonga kumkaba mayele (mafanikio makubwa kuwahi kutokea Afrika)
Nashauri waige mazuri hayo ya Simba.
Makolo mmepagawa mnachukua Hadi utani [emoji23][emoji38]Bado ni Giant kwa sbb furaha yenu haifiki kileleni bila kuiongelea Simba...
Mtakua matured kama mtafurahi bila kuihusisha kwny midomo yenu....
Mwaga ugali niko nyuma yako kuhakikisha hakuna anayekuletea dharau Chifu [emoji28]Mnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Mtani za kunichunia?Bado ni Giant kwa sbb furaha yenu haifiki kileleni bila kuiongelea Simba...
Mtakua matured kama mtafurahi bila kuihusisha kwny midomo yenu....
Ni mafanikio maana Yanga anacheza kombe la losers wala si Klabu Bingwa ya Africa "kiumeni" [emoji2960]Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
Hilo sio swali, robo fainali inakupeleka wapi sasa? hamjaacha tu mambo ya tulifika final mashudi abiola, mafanikio taji babu taji.Ukijibu hili swali kwa usahihi ndo utajua yupi ni GIANT kati ya Simba na Yanga.
Hayo ni mafanikio pia...Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
Kweli kabisa, Ila Mambo mengine ni kukaa kimya tu.Mnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Hayo ni mafanikio pia...
Lakini Kwa Yanga yasingekua mafanikio ya kujivunia...
Ngoja nikwambie kitu mfano Yanga akishindwa kuchukua kombe la shirikisho, bado yatakua ni mafanikio ya kufika Fainali lakini si ya kujivunia unajua Kwanini?
Mafanikio halisi na ya kujivunia n kubeba kombe only that..!
USM Alger alifika Fainali CAF champions League lakini hawezi jivunia kama vile akifanikiwa kubeba hili kombe.
Ngoja nikupe elimu ndogo..
Kwenye mashindano yote mshindi hua ni mmoja tu, wanaofatia wote ni washindwa (failures) japo huitwa mshindi wa pili, wa tatu, wa nne, n.k
Lakini kitu kibaya zaidi jua kua mshindi wa pili ndiye mshindwa wa Kwanza! Mfano kwenye NBC Premier League Simba ndio mshindwa wa Kwanza.. ndo maana hawezi kujivunia, lakini pia hii huchagizwa na aina ya club mathalani, ingekua Azam ndo mshindi wa pili kwenye ligi na pia kafika robo CAF champions League basi yangekua mafanikio makubwa sana

Sisi tunatunza tu hizi risit zenu ,mkikosa kombe msijeanza ooh tuna mafanikio tumefika fainal,makubaliano hapa mafanikio ni had kombe mkikosa hili kombe mkae kimya sasa .Hilo sio swali, robo fainali inakupeleka wapi sasa? hamjaacha tu mambo ya tulifika final mashudi abiola, mafanikio taji babu taji.
Yanga huwa hawakosei kitu. Wakikosea ujue wamekuonea huruma. haah!Sisi tunatunza tu hizi risit zenu ,mkikosa kombe msijeanza ooh tuna mafanikio tumefika fainal,makubaliano hapa mafanikio ni had kombe mkikosa hili kombe mkae kimya sasa .
Na inshallah mtalikosa maana mna mategemeo mengi sana
Ebu jibuni tunawachoraàa.Mnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Mafanikio ni kombe Mzee kubali au kataa Leo hii mazembe anaheshimika Kwa sababu ya makombe..Hapa tena kwenye kuelewa maana ya mafanikio umeenda chaka.
Sikia, Mafanikio ni kufikia malengo. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufika hatua za makundi kwenye mashindano ya CAF. Ametimiza lengo na kupitiliza hadi kufika fainali. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Yanga kimataifa. Kwa mashindano ya ndani Yanga aliweka malengo ya kuwa bingwa wa ligi kuu. Kachukua ndoo haya ni mafanikio. Tofauti na Yanga, simba aliweka malengo kutwaa taji la ligi kuu na kufikia nusu fainali kwenye CAF CL. Hapa kafail kotekote. Narudia tena, mafanikio ni kufikia malengo. Wala siyo lazima kuchukua kikombe
Mnashiikilia mashindano ya CAF!!!Hapa tena kwenye kuelewa maana ya mafanikio umeenda chaka.
Sikia, Mafanikio ni kufikia malengo. Malengo ya Yanga msimu huu yalikuwa ni kufika hatua za makundi kwenye mashindano ya CAF. Ametimiza lengo na kupitiliza hadi kufika fainali. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Yanga kimataifa. Kwa mashindano ya ndani Yanga aliweka malengo ya kuwa bingwa wa ligi kuu. Kachukua ndoo haya ni mafanikio. Tofauti na Yanga, simba aliweka malengo kutwaa taji la ligi kuu na kufikia nusu fainali kwenye CAF CL. Hapa kafail kotekote. Narudia tena, mafanikio ni kufikia malengo. Wala siyo lazima kuchukua kikombe
Sasa na wewe si umuwekee yale majedwali yaliyotengenezwa na yule kiongozi wenu somebody Magori, kwa ajili ya kumlingishia!!Mnatuanza wenyewe afu tukiwajibu mnatuita hater
Mtani nipo...upo na wewe?