chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Kwa akili za kawaida una amini ni 'Watu' wa Simba ndio wameizuia timu sio?! Au unafikiri the so called 'Makomandoo' wa Azam ndio wamefanya upumbavu ule?Anaruhusiwa kwa kanuni ipi kugomea mechi tuwekee hapa iyo kanuni,,na ulete uthibitisho kwamba wale ni mabaunsa wa yanga sio habari za kwenye vijiwe vya kahawa,,mahakama uwa inahitaji uthibitisho usio na shaka sio unachokifikiria kichwani mwako
Jaribu kufikiri kwa fikra huru. Ushabiki wa timu zetu usitupofushe.