Kwa akili za kawaida una amini ni 'Watu' wa Simba ndio wameizuia timu sio?! Au unafikiri the so called 'Makomandoo' wa Azam ndio wamefanya upumbavu ule?Anaruhusiwa kwa kanuni ipi kugomea mechi tuwekee hapa iyo kanuni,,na ulete uthibitisho kwamba wale ni mabaunsa wa yanga sio habari za kwenye vijiwe vya kahawa,,mahakama uwa inahitaji uthibitisho usio na shaka sio unachokifikiria kichwani mwako
Sheria watatekeleza ya kutoa adhabu ya faini kuanzia milioni 1 mpaka 5 endapo itathibitika timu mgeni imezuiwa kufanya mazoezi ama onyo,,sasa iyo sio sababu inayompa Simba kugomea mechi pia kanuni zitazungumza anayegoma afanye niniSimba sio wajinga kama unavyofikiri.
Sio kwamba hawajui taratibu na kanuni, muda mwingi waliamua kuheshimu Mamlaka hata pale wanapokosewa na mtani kupata faida ya kimaamuzi ya Mamlaka.
Ila safari hii enough is enough. Mamlaka watelekeze sheria kama kanuni inavyotaka na sio kuchekeana.
Kwaiyo Simba anaruhusiwa kugomea mechi? Nimekwambia tuwekee kanuni inayosema akizuiwa kufanya mazoezi agomee mechiKwa akili za kawaida una amini ni 'Watu' wa Simba ndio wameizuia timu sio?!
Derby iliyopita Yanga walienda kufanya mazoezi,Derby ya Simba juzi na Azam,Azam walienda kufanya mazoezi,siyo bla bla tu video na picha zipoMechi iliyotangulia ya derby yanga walizuiwa kufanya mazoezi pale taifa mbona yanga awakugomea mechi? Mechi za derby sijawai sijawai kuona timu zinafanya mazoezi siku Moja kabla pale kwa mkapa,,uwa Kila timu inafanya mazoezi kwenye uwanja wake na ndio maana ata meneja wa uwanja akuwa na taarifa yoyote juu ya icho kitu!
Hiyo 1-5M ni kuanzia. Sheria ipo wazi. Kwanini usifikiri wanaweza kuzuiwa kwenye mechi 3 ukakimbilia faini ya pesa?Sheria watatekeleza ya kutoa adhabu ya faini kuanzia milioni 1 mpaka 5 endapo itathibitika timu mgeni imezuiwa kufanya mazoezi ama onyo,,sasa iyo sio sababu inayompa Simba kugomea mechi pia kanuni zitazungumza anayegoma afanye nini
Kuzuiliwa kwenye mechi 3 yanga ndio meneja wa uwanja,,funguo za mageti ya uwanja nani anazitunza?Hiyo 1-5M ni kuanzia. Sheria ipo wazi. Kwanini usifikiri wanaweza kuzuiwa kwenye mechi 3 ukakimbilia faini ya pesa?
So, hilo limefanyika kimkakati kwa kujua kuna faini ya pesa kama ile ya kupitia njia isiyo rasmi kila wakati?!
Wacha tuone Mamlaka watafanya nini.
Leta iyo video ya yanga akienda kufanya mazoezi kwenye derby iliyopitaDerby iliyopita Yanga walienda kufanya mazoezi,Derby ya Simba juzi na Azam,Azam walienda kufanya mazoezi,siyo bla bla tu video na picha zipo
Sure. Watani wanaona wanaweza ku'Influence' na ku'Manipulate' maamuzi kwasababu baadhi ya Mawaziri ni Viongozi wao.Derby iliyopita Yanga walienda kufanya mazoezi,Derby ya Simba juzi na Azam,Azam walienda kufanya mazoezi,siyo bla bla tu video na picha zipo
Mpira unaendwa na kanuni siyo nadharia.Unakimbia mechi kwa kanuni gani?Sawa wenyeji wamevunja kanuni.Timu mwenyeji ni yanga,,asa unadhan simba alipokutana na ugumu getini kuingia kufanya zoezi na mabaunsa wakazuia et wanataka kufanya uchawi unadhan mabaunsa wametoka wap kama si wa mwenyej
Usiwe na haraka. Mwenye tatizo atajulikana na ataadhibiwa.Kuzuiliwa kwenye mechi 3 yanga ndio meneja wa uwanja,,funguo za mageti ya uwanja nani anazitunza?
Hapa ni kijiwe si mahakama boss? Ushahidi utapelekwa sehemu husika ili mwenye haki apate stahiki yake.Anaruhusiwa kwa kanuni ipi kugomea mechi tuwekee hapa iyo kanuni,,na ulete uthibitisho kwamba wale ni mabaunsa wa yanga mahakama uwa inahitaji uthibitisho usio na shaka sio unachokifikiria kichwani mwako
Tukishindwa kudadavua hoja, kwa akili na kuhusisha hisia na mihemko ndo Matokeo yake haya!Wewe mtu uwezo wako wa kufikiri mdogo sana. Sijui kwanini washabiki wa Yanga huwa hamna akili. Mabaunsa wa YANGA nani hawajui? Si wanajulikana? Ina maana video hamjaziona au?
Meneja wa uwanja anapokea maelekezo kwa timu mwenyeji ambae ni Yanga, na mwenyeji ndio anakabidhiwa uwanja na ndo maana anaruhusiwa kuleta mabaunsa wake.
Simba anaruhusiwa kugomea mechi kwasababu hawezi kucheza Leo wakati jana wachezaji hawakufanya mazoezi kwasababu walizuiwa. Inakubalika Dunia nzima. Huwezi peleka wachezaji uwanja wakati hawajafanya training, utaonekana makalio
Umeandika waraka mrefu wa kitu ambacho hukijui. Kweli common sense is not common
Kila muhusika awe na taarifa. Inaonekana meneja wa uwanja hakuwa na taarifa.Muda wa mazoezi ukoje kulingana na ratiba za matumizi wa uwanja kumbe hata saa 3 usiku unaweza fanya mazoezi?
Hakuna timu itaadhibiwa hapo mechi itapangwa upyaKwani kuna kanuni inayokataza wazee wasiingie uwanjani? As long as wakitambulika ni sehemu ya timu kanuni ipo wazi. Hawazuiwi.
Hata timu iwe imara vipi, safari hii tunataka sheria na kanuni zifuatwe.
Kama ikibainika Simba ina makosa apewe adhabu stahiki, na ikibainika Yanga kupitia vibaraka wake wanaojitambulisha kama ' Makomandoo' adhabu ichukue mkondo wake.
Haki itaamuliwa kikanuni na sio vinginevyo suala la kugomea mechi ni tofauti kabisaHapa ni kijiwe si mahakama boss? Ushahidi utapelekwa sehemu husika ili mwenye haki apate stahiki yake.
Wakati wanaadhibiwa na timu inatakiwa uwanjani na sio vinginevyoUsiwe na haraka. Mwenye tatizo atajulikana na ataadhibiwa.
Huyo Meneja si ndio muda wote mnamtumia kuwafungulia geti la nyuma. Basi tutajua shida ipo wapi.
Wala usipate mchecheto.
Simba kama kakosea ataadhibiwa na na ikitokea ni Yanga wataadhibiwa pia.
Tusubiri. Muda ni Mwalimu mzuri.
Whatever kaka. Lakini muhimu ujumbe ufike kuwa Simba sio wannyonge kama wanavyoaminishana kwenye vikao vyao.Hakuna timu itaadhibiwa hapo mechi itapangwa upya
Hii Mechi ni content kipindi hiki Cha uchaguzi imehairishwa wkt muafaka
Gentleman.Haki itaamuliwa kikanuni na sio vinginevyo suala la kugomea mechi ni tofauti kabisa