Simba bila Chama inapungua ubora

Simba bila Chama inapungua ubora

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Habari wanajf

Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele angalau alivyoingia Ngoma kidogo Kati pakawa na utulivu lakini mbele bado pakawa vile vile. Faida ya Chama Kwanza anaunganisha team kuanzia Kati mpaka mbele, analeta utulivu ndani ya uwanja flow nzima ya uchezaji unakuwa mzuri na Wenye kuvutia
 
Back
Top Bottom