Yetu macho na masikio. Siye tupo tunasubiri kuwapa pole au pongezi. Lakini punguzeni Ushehe Yahaya maana hata kabla ya 5-1 kutoka kwa mafarao huu Ushehe Yahaya tuliuona na kuusikia.Kwa wale mashabiki wa wekundu wa Msimbazi (Simba Sports Club) napenda kuwakumbusha kuwa tukae mkao wa kula kusubiri kikombe pale msimbazi. Ukizingatia na umeme umerudi nina uhakika mambo yatakuwa burudanii. Kwa kuanzia leo Atletico wanakula 2-0 kwak uanzia then wale watakaopita mbele yetu ni kichapo kama kawa..
Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
Hata wa 4- 3 uliusikia?Yetu macho na masikio. Siye tupo tunasubiri kuwapa pole au pongezi. Lakini punguzeni Ushehe Yahaya maana hata kabla ya 5-1 kutoka kwa mafarao huu Ushehe Yahaya tuliuona na kuusikia.
my point exactly! haufanyagi kazi....hekima ni kusubiri 90+ mins.Hata wa 4- 3 uliusikia?
Kumbe Sheikh Yayha anatuibia bure tu. Mkuu we mtabiri mahiriKwa kuanzia leo Atletico wanakula 2-0 kwak uanzia then wale watakaopita mbele yetu ni kichapo kama kawa..
Simba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
Mkuu soma posti # 14 (kati ya mistari)...Sajenti kayapatia matokeo kwa 90%.Wekani matokeo basi...au huu ni uwanja wa kandambili??
Simba mbeleeeeeeeeeeeeeeee.....asante mkuu!!Mkuu soma posti # 14 (kati ya mistari)...Sajenti kayapatia matokeo kwa 90%. Atreco 1 Simba 2!