Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
mnyama mnyama ...........a n a t i s h a!:cheer2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi matokeo??mnyama mnyama ...........a n a t i s h a!
Kuna klabu moja tu ya TZ iliyowahi kuchukua kombe hili (la mbuzi) ugenini - tena mara 2! Siitaji jina.......wewe na wale jamaa wa kipande ingine mnaijua!!! Ina historia nzuri kuliko timu zote TZ lakini huwa haina kelele nyingi.....yenyewe kazi yake kunyakuwa makombe tu....Afadhali bana kelele zilikuwa zimezidi,Simba mmebeba kombe mara 6 but hamjawahi kuchukua ugenini hata mara moja
Afadhali bana kelele zilikuwa zimezidi,Simba mmebeba kombe mara 6 but hamjawahi kuchukua ugenini hata mara moja