saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
poleni sana, ukubwa huo.
Isije ikawa kuna kamgomo baridi! Simba sio timu ya kupoteza mechi mfululizo kwenye michuano kama hii. Hebu viongozi walioko Kigali wakae na wachezaji wajue kuna nini hasa wajaribu kutatua kabla ya hizo mechi za quarter final.
Hili ndio tatizo lenu kubwa. Kuji-overate!!!Isije ikawa kuna kamgomo baridi! Simba sio timu ya kupoteza mechi mfululizo kwenye michuano kama hii. Hebu viongozi walioko Kigali wakae na wachezaji wajue kuna nini hasa wajaribu kutatua kabla ya hizo mechi za quarter final.
poleni sana, ukubwa huo.
Mpaka sasa 1-1