Jamali Shabani
Member
- Aug 21, 2016
- 76
- 42
Aya banaBado Dakika 20 mpila kuisha
ushindi upo Fifa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ikiwezekana Haya makumbusho ya taifa yaondoke kabisa tuanze kupata Tim mpya
inawezekana kama mulimbadirishi mkataba messiNipo kwenye bus muda uhu kuelekea mwanza,kondakta ni mpenzi wa yanga na anaongea jambo ambalo limenigusa japo sina uhakika kama lina ukweli ndani yake.
Anasema kuwa baada ya kifo cha mafisango zilichangwa mil 20 ili apewe mke wake ila aliepewa ili azipeleke alichikichia nazo! Hivyo jamaa anasema ndio laana ya sisi simba kutochukua ubingwa
manaraKuna watu waanze kujiandaa kisaikolojia..