Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Nipo kwenye bus muda uhu kuelekea mwanza,kondakta ni mpenzi wa yanga na anaongea jambo ambalo limenigusa japo sina uhakika kama lina ukweli ndani yake.

Anasema kuwa baada ya kifo cha mafisango zilichangwa mil 20 ili apewe mke wake ila aliepewa ili azipeleke alichikichia nazo! Hivyo jamaa anasema ndio laana ya sisi simba kutochukua ubingwa
 
  • Thanks
Reactions: SDG

inawezekana kama mulimbadirishi mkataba messi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Simba wameongeza mashambulizi hapa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom