Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Hawa Mbao wameshindwa kabisa kutupa raha.!
 
Reactions: SDG
Dak 104 Simba 1-0 Mbao
 
Ngoma ya kitoto haikeshi..Mnyama mkali anavunja Mbao hapa [emoji16] [emoji16] shubamit!
 
Kuongeza dk 30 ni kuwapendelea simba, Yaani zingepigwa penati tu wafungwe tu hao mikia
Mbao walikuwa wanangojea wakafie kwenye penati, na wangeweza kushinda maana Simba wangekuwa wameshatoka mchezoni.

Kwa sasa itabidi Mbao wafunguke kutafuta goli na wanaweza kujikuta wanafungwa bao lingine.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…