Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Club ya Simba imetwàa Ubingwa wa Kombe la FA baada ya Kuichapa Mbao Goli 2-1 Magoli ya Simba Yamefungwa na Kichuya na Blagnon

Simba Sasa itaiwakilisha Tanzania katika Michuano ya shirikisho Barani Africa.
tunajua mkuu...
 
ah mbao wameonewa Ile sio penalt kabisa hawa marefa sijui wanawaokota wapi.Hawa wanadumaza soka letu bullshit!
 
PENATI FC DAU LA SPORT PESA LIMEFANYA KAZI SAFARI HII NI KWA REFA SWALI KWA MIKIA HIVI KUNA UMUHIMU WA KULETWA REFA TOKA NJE KUCHEZESHA BONGO?
 
Na zile point zetu tatu walizochukua TFF ikishorikiana na katibu mkuu wa zamani wa Yanga Jamal Malinzi sie tulipaswa kuwa ndie mabingwa wa mpira.

Yanga wana bahati!
 
Mbao wamekubali nashangaa pale bondeni inawauma nn kwani maji yameisha
Watanuna sana mpaka wapasuke, hata lile nyonyaji lililojipa uenyekiti wa mkoa wakati huohuo ni lirais litapasuka utapiamlo wake. Ila huyo jamaa aliyetoa comment kwa domo kanifurahisha, eti anampa domo pole kwa kufiwa na mume mwenzie halafu hapohapo anamfariji kwa kumwambia eti asijali atapata mwingine, daa!
 
Hivi kwa nn mm sizipendi sn hizi timu zinazoitwa simba na yanga?
 
Kwa kweli ndio maana timu zetu huwa hazifiki mbali kwenye michuano ya kimataifa kwa sababu zinafuzu kwa kubebwabebwa tu. Angalia penalti waliopewa simba hivi kweli ni penalti halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…