Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
JUKWAA LINAANDALIWA KUBEBA KOMBE LETU SIMBA SIYO WA MCHEZO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyooooooooooooo mpk pale jangwani wakati tunaenda karuma kwa mgambo sory malinziSimba oyooooooo
tunajua mkuu...Club ya Simba imetwàa Ubingwa wa Kombe la FA baada ya Kuichapa Mbao Goli 2-1 Magoli ya Simba Yamefungwa na Kichuya na Blagnon
Simba Sasa itaiwakilisha Tanzania katika Michuano ya shirikisho Barani Africa.
Ndio hivyo mkuu...Tanzania tukiitwa kichwa cha mwendawazimu kwenye soka sishangai sanamarefa wa bongo wajinga sana
Tumewapiga Mara mbiliHAO NDO SIMBA BWANA,HATUNA HISTORY YA KUFUNGWA NA MBAOO
Watanuna sana mpaka wapasuke, hata lile nyonyaji lililojipa uenyekiti wa mkoa wakati huohuo ni lirais litapasuka utapiamlo wake. Ila huyo jamaa aliyetoa comment kwa domo kanifurahisha, eti anampa domo pole kwa kufiwa na mume mwenzie halafu hapohapo anamfariji kwa kumwambia eti asijali atapata mwingine, daa!Mbao wamekubali nashangaa pale bondeni inawauma nn kwani maji yameisha![]()
We Umemaliza Mafunzo ya Uamuzi lini?ah mbao wameonewa Ile sio penalt kabisa hawa marefa sijui wanawaokota wapi.Hawa wanadumaza soka letu bullshit!
Malinzi inamkera mnoooooo[emoji12] [emoji13] [emoji23]Simba chama kubwa
Ukweli unauma japo ndio hali halisiAngalau Simba wanaweza kututoa kimasomaso kombe la CAF maana naona kila dalili kuwa Yanga wanaishia raundi ya kwanza mwakani.
Vv
ohooo walewale wa point za mezaniSimba Chama Kubwa