Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Kona simba wanapata Dk ya 13 lakini wanakosa
 
Ndio maana mikia ubingwa wanauonaga Jangwani tuu,wanaamini sana uchawi. Mpira wa kwanza eti wanapiga nje makusudi kabisa.
 
simba mbele daima nyuma mwiko
Wewe sio shabiki wa mpira. Hiyo ni slogan ya Yanga, unawezaje kuitumia kwa simba? Yaani ni sawa na shabiki wa Everton aanze kusema You Will Never Walk Alone Evertonians!?
 
Dak 15 Simba 0-0 Mbao fc
 
Dak 20 bado bila bila
 
Dak 24 milango bado ni migumu kwa timu zote
 
Mavugo anakosa tena nafasi ya wazi kabisa hapa
Dak 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…