Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio shabiki wa mpira. Hiyo ni slogan ya Yanga, unawezaje kuitumia kwa simba? Yaani ni sawa na shabiki wa Everton aanze kusema You Will Never Walk Alone Evertonians!?simba mbele daima nyuma mwiko
Dak 7 Simba 0 Mbao 0
Ushindi ni lazima kwa simba
mbao fc piga fisi huyo
Leo ndio fainali kombe la ASFC kaa tayari tuwe pamoja
Vikosi vya vitakavyoanza.
![]()
![]()
Mpira umeanza rasmi
Mbao fc 0-0 Simba
Dak 5. Timu zimeanza kwa kushambuliana kwa zamu.
Dak 11 bado milango ni migumu kwa timu zote.
Mlango wa mbao ni laini kwa "Fatuma"Dak 24 milango bado ni migumu kwa timu zote