caf inawalipiaHivi mbao wakishinda watapata nauli na gharama zingine za usafiri isije kuwa ya mtibwa sugar wakati flani walishindwa kumudu gharama za mashindano ya kimataifa hasa baada ya kupoteza matumaini ila all in all niko pamoja na mbao fc awachape mavugo fc
simba haruki hapo
Hawana mbinu nyingine ya ziada.Mbao nyuma wanamsitu kwahivyo inahitaji.. Simba kubadili mbinu nyingine
Hata kwa panenka, huenda akapatikana.Mechi hii huenda mshindi akapatikana kwa goli moja tu.
Hahahahahaaaa ....!!!Hawana mbinu nyingine ya ziada.
Mpira wa kuweka chini na kupiga basi sio mzuri kutoka na na ubora wa kiwanja.
Mbinu pekee ni kutumia mipira mirefu ambayo wamekuwa wakitumia kipindi cha kwanza cha DK 45.
Otherwise! watumie mbinu ya 'Table Tennis'. I mean kutumia mikono kuuweka mpira wavuni.
Na majibu kutoka fifa tayarisimba mbele daima nyuma mwiko
OK basi watanufaika naona wanasali watainuka na ushindi mkubwa hawa mbao fccaf inawalipia
Wewe ni Kocha?Hawana mbinu nyingine ya ziada.
Mpira wa kuweka chini na kupiga basi sio mzuri kutoka na na ubora wa kiwanja.
Mbinu pekee ni kutumia mipira mirefu ambayo wamekuwa wakitumia kipindi cha kwanza cha DK 45.
Otherwise! watumie mbinu ya 'Table Tennis'. I mean kutumia mikono kuuweka mpira wavuni.
simba sc wana kelele sana ngoja watulizwe mchanganiOK basi watanufaika naona wanasali watainuka na ushindi mkubwa hawa mbao fc
yanga utawaona tu kwa rangi zao
MAVUGO STATS:-
SHOTS OFF TARGET - 17
SHOTS ON TARGET - 0