Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Tutatumiaje Tennis mkuu!

Sisi ni wapambanaji Uwanjani?

Nasikia Barua yenu kutoka FIFA Imewasili mchana huu..Ingia mitandaoni uione.
Hivi Tambwe alitumia nini?

Upambanaji gani wa point 68 kwa 68 hiyo si tia maji tia maji kwenu
 
Hii barua kutoka fifa wameiona?
0df3a694a73fb718e468ac4f29a59a1d.jpg
mhh ina maneno ka wamemuandikia mtoto,hakika simba kwa hapo tumetia aibu....
 
Hatari hapa Mbao wanafanya zuri lakini simba wanazuia vizuri..

Dak 55
 
Back
Top Bottom