Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Hivi Tambwe alitumia nini?Tutatumiaje Tennis mkuu!
Sisi ni wapambanaji Uwanjani?
Nasikia Barua yenu kutoka FIFA Imewasili mchana huu..Ingia mitandaoni uione.
Upambanaji gani wa point 68 kwa 68 hiyo si tia maji tia maji kwenu