Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Dak 35 badi bila bila
 
dah! mikia wakifungwa leo, ubingwa wa vpl chali.. hahahahahahaha..! Mungu wasaidie mbao fc
 
Nasikiliza redio hapa ni kweli anakosakosa sana magori kuna nini hapa??!!!!!
 



MAVUGO STATS:-

SHOTS OFF TARGET - 17

SHOTS ON TARGET - 0
 
Simba watulie, ni kama vile wana papara ya kupata ushindi wa mapema.
 
Dk 41 bado bila bila
 
Back
Top Bottom