Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Angalau Simba wanaweza kututoa kimasomaso kombe la CAF maana naona kila dalili kuwa Yanga wanaishia raundi ya kwanza mwakani.

Vv
 
Huu ni msiba wa malinzi na yanga, poleni sana ila ndo hivyo tofauti yenu na simba mtaijua kwenye ukimataifa. Mtapigwa 4G mapemaaaa
hilo jingajinga la tff limezoea kujilimbikizia madaraka, uliona wapi rais wa tff akawa ndo huyohuyo mwenyekiti wa chama cha mpira Kagera? ni umbururaz
 
Huu ni msiba wa malinzi na yanga, poleni sana ila ndo hivyo tofauti yenu na simba mtaijua kwenye ukimataifa. Mtapigwa 4G mapemaaaa
Samahani malinzi anaogopa nn simba kushiriki kimataifa ??

Hana tofauti na yule paleeeeee baba jesika anavyomwogopa lema
Lisu
Mbowe
 
Simba tulistahili ushindi. Sasa tukakionyeshe kile kinachotufanya tuwe wa kimataifa.
 
Back
Top Bottom