Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sawaNyie mlishashuka, leo ni zamu yetu![emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaNyie mlishashuka, leo ni zamu yetu![emoji13]
Hongera BAK. Angalau mmefarijika sasa na nyie muwe wa kimataifaNausubiri lakini matumaini kwenye FA si makubwa. Ingawaje kwenye 90/120 na penalties lolote linaweza kutokea.
Ubingwa Ubingwa tu endeleeni kujadili uhalali wa penati maana mimba wamepewa mbao uchungu mnapata nyie vyura fc
utakuwa na makengeza wewe!Goli la mbao lilikuwa clear off side mbona wengi wapo kimya kwa hilo? Tena waamuzi walitofautiana kwa walio fuatilia mpira huo na uwanja haukuwa kwenye kiwango, maamuzi ya Tff hayakuwa sahihi fainali kuchezwa hapo. Na marejeo yanaonyesha mchezaji wa mwisho wa mbao alishika mpira kabla ya ku clear illa muda ulikuwa mbaya ndio maana waliona sio penalt halali. Illa kiwango cha mpira uliochezwa Simba walistahili kuwa mabingwa japo sio wazuri sana. Illa mbao walikamia ule mchezo hawana kiwango kizuri zaidi ya stamina tu. Hongera kwa wote.
naskia masema eti mlifikili mninga kumbe mpodo..watu wana manenoMbao itageuka banzi leo
Mimba ni mimba tu, hata kama imeingia kwa kubakwa! Na shule utafukuzwa, maana sio kliniki!!Jamani huu mpira wa KUBEBANA SIYO POA. Nampongeza Refa kwa kuifanya Simba isidharirike.
Wa matopeni ni wewe pekee yako!Bora lefa umesaidia kutubeba maana sisi ni wA matopen na tulikuwa tumekwama hongera lefa umetubeba lakin hatujashinda kwa halal