Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Nausubiri lakini matumaini kwenye FA si makubwa. Ingawaje kwenye 90/120 na penalties lolote linaweza kutokea.
Hongera BAK. Angalau mmefarijika sasa na nyie muwe wa kimataifa
 
Na kutoka magazetini..
1eaf28c3f7ea99e60651fc7e76f08dd6.jpg

b92458d46228c550e7378e990a0bdd6f.jpg

40bc210fb79bbd110b7f7697d76c5c3d.jpg

14a7b8a037382b9604202081f4b5ded6.jpg

4e2a7989f5d8b8b9bd311a58d6cde6db.jpg

e9ef2c8fff742f35ee518093fd453b51.jpg

c12c6fcf9c4409e85c9af9c6fd891ac4.jpg

9504077a521b3dca9e5eb21f32c56a50.jpg
 
Ubingwa Ubingwa tu endeleeni kujadili uhalali wa penati maana mimba wamepewa mbao uchungu mnapata nyie vyura fc

[emoji23] [emoji23] Kumbe hawe uko thimba. Hongera shoga angu.
 
Goli la mbao lilikuwa clear off side mbona wengi wapo kimya kwa hilo? Tena waamuzi walitofautiana kwa walio fuatilia mpira huo na uwanja haukuwa kwenye kiwango, maamuzi ya Tff hayakuwa sahihi fainali kuchezwa hapo. Na marejeo yanaonyesha mchezaji wa mwisho wa mbao alishika mpira kabla ya ku clear illa muda ulikuwa mbaya ndio maana waliona sio penalt halali. Illa kiwango cha mpira uliochezwa Simba walistahili kuwa mabingwa japo sio wazuri sana. Illa mbao walikamia ule mchezo hawana kiwango kizuri zaidi ya stamina tu. Hongera kwa wote.
utakuwa na makengeza wewe!
 
hii sio penati...ni kona?
 

Attachments

  • Screenshot (14).png
    Screenshot (14).png
    373 KB · Views: 48
Back
Top Bottom