OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #41
Upande huu hakuna shida bwanaView attachment 613848
Kikosi cha Simba.
Mechi kupigwa saa 10. TBC Taiga na Azam HD watarusha. Kwa hapa JF utakuwa nami msimulizi wako OBS
Updates
Simba Sc 1: Njombe 0
Okwi 28'
HT
Simba 1: Njombe 0
Okwi 28'
Updates
Simba 4 :Njombe 0
Okwi 2,Mzamiru 2
Ngoja Njombe wasawazishe dakika ya 96 viti ving'olewe
Exactly Mkuu.. Nikiwa mmoja wa wadau wa suala hilo. Timu inahitaji muunganiko mzuri kama huu ambapo kila mmoja anaweza kufunga.Malalamiko yetu kwa Omog yanezingatiwa matokeo tunayaona