Simba Bingwa Vs Njombe Mji

Simba Bingwa Vs Njombe Mji

Simba ya tuma salamu kwa Yanga.. Simba ina tiketi ya Lwandamina, najua tarehe 28, tukishaua huu.. Lwandamina kwao
 
Leo hawasemi lolote kuhusu kocha wao Omog! Ila ndio vizuri aje afukuzwe tarehe 28 baada ya kichapo toka kwa mabingwa wa kihistoria Tz! Hivi Haruna bado hana hata goli moja?
 
Mkuu unaonekana una kumbukumbu nzuri. Tusaidie kulinganisha magoli ya Okwi na timu nzima ya Yanga
 
Hana Goli lakini Tumeshinda 4 na Tunaongoza ligi! Tatizo nini?
 
Mkuu unaonekana una kumbukumbu nzuri. Tusaidie kulinganisha magoli ya Okwi na timu nzima ya Yanga
Haisaidii kitu hata nikilinganisha! Na wewe niambie pamoja na Yanga kuwa na magoli machache, Je yupo nafasi ya ngapi? Ninacho ipendea timu yangu hata ikiwa ktk kipindi kibaya cha fedha huwa inapambana! Mmeunda timu kwa gharama kubwa na bado ubingwa hamtachukua!
 
Haisaidii kitu kweli lakini sema tu,just mention
 
Leo hawasemi lolote kuhusu kocha wao Omog! Ila ndio vizuri aje afukuzwe tarehe 28 baada ya kichapo toka kwa mabingwa wa kihistoria Tz! Hivi Haruna bado hana hata goli moja?
Katika misimu sita aliyocheza yanga alifunga magoli mangapi?! Tuanzie hapo kwanza!!
 
Back
Top Bottom