Simba Bingwa Vs Njombe Mji

Simba Bingwa Vs Njombe Mji

Hakuna majeruhi?maana nilisikia benchi moja la ufundi la mchangani walitenga kitita cha fedha ili kuhakikisha jamaa wanapigwa viatu vya kutosha ili kuwepo na majeruhi
 
View attachment 613848
Kikosi cha Simba.

Mechi kupigwa saa 10. TBC Taiga na Azam HD watarusha. Kwa hapa JF utakuwa nami msimulizi wako OBS

Updates
Simba Sc 1: Njombe 0
Okwi 28'

HT
Simba 1: Njombe 0
Okwi 28'

Updates
Simba 4 :Njombe 0
Okwi 2,Mzamiru 2

FT Simba 4
Okwi 1
Mzamiru 2
Mavugo 1

Jmosi ijayo mtashuhudia Yanga ikifanywa hivihivi hapahapa na walewale kulekule churani
Salamu ziwafikie yebo fc
 
Back
Top Bottom