BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Ukisikia unafiki wa mwadamu ndio huu Sasa ..Simba Anaongelewaaa anahurumiwaa na kila siku ng'ombe na kuku wanaliwa na Binadamu, na Simba hula swala hata wale wadogo...Ila Sasa huyu anadhamani kubwa Simba mnyama?
Unajua Tangu Enzi za Bwana Yesu Mpaka Sasa Binadamu ni Kiumbe mnafiki Sana ,ndio maana Yesu mwenyewe alikemea unafiki...Leo hii Kuna watu wako huko , stand..hawana Dawa , chakula.
Wanalala kwenye jua mchana kweupe..hawana anaye waangalia badala ya kupiga kelele kuhusu uhai wa watu, watu wanapiga kelele kuhusu mnyama Simba na kuomboleza na kusema sifa bingo za huyu Simba?
Mnyama...mwadamu kiumbe kinafiki Sana.
Na huenda habari hii Kuna fungu limetoka kuisambaza Sana.
Enyi wanafiki mmeshindwa kuhurumia Binadamu wenzenu Hadi mnamhurumia Simba?
🤔
Mkianza kurumia Simba hurumieni basi hao wanyama mnao chinja kila siku? Na kuwala!!