Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Bob alikuwa na kaka yake. Waliishi pamoja kwa muda mrefu. Wote wamekufa kwa kufuatana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi serious mnafuatia hawa wanyama kiasi hiki, me nilijua ni story tu za kusogeza muda mbele.Bob alikuwa na kaka yake. Waliishi pamoja kwa muda mrefu. Wote wamekufa kwa kufuatana..
[emoji1787][emoji1787]wawekewe vikwazo vya kiuchumHao Simba waliompindua na kumuua Bob-Simba inabidi wawekewe vikwazo na jumuia za kimataifa kwani utawala wao ni haramu na hautambuliki. Full stop!
Hua yuko na partner wake,wale kila nyoka wanamfahamYeah Saimon....jamaa anapenda nyoka ukiangalia unaona kumbe nyoka ni wakawaida hawana ishu
Fasihi andishi katika ubora wake. Wenye asili ya Cuba ndiyo tumeelewa fasihi hii. Kongole Sana Mwanafasihi.Bob Junior ni simba maarufu na kipekee hapo Serengeti,alikuwa ni mzuri kwenye wengi,alikuwa na nguvu na mtawala,ame uawa kwa kuchangiwa na Simba wa tatu...
Hivi huwa ni mke wake? Nilimuuliza mwanangu is that simons wife? Akajibu no, his girlfriend....nikakaa kimyaHua yuko na partner wake,wale kila nyoka wanamfaham
Hiyo ni nature yao Simba akiwa mzee huweza kuuawa na vijana ili watwae nafasi ya baba au kaka au mtemi wa Hilo pori lao .SAD NEWS…
Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera...
mila hiyo wasukuma kumbe wameiga kwa simba!Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita.
Simba hao watatu waliowahi kujaribu kujisimika ufalme walilelewa na ‘Bob Junior’ tangu wakiwa wadogo lakini majaribio ya kufanya mapinduzi mara kadhaa ili kuuangusha utawala wa Bob Junior haukufanikiwa na badala yake walikimbizwa katika maeneo hayo, yaliyopo mashariki mwa hifadhi hiyo.
Simba ‘Bob Junior’ akisaidiana na kaka yake, Joel walitawala kwa zaidi ya miaka mitano na kuwa miongoni mwa Simba waliotawala kwa kipindi kirefu zaidi kabla ya kufanyika mapinduzi.
Mhifadhi Mwandamizi wa hifadhi hiyo, Fredy Shirima ameieleza BBC kuwa tukio hilo ni asilia katika uhifadhi lakini pia hutokea zaidi kwa Simba ambao hushikilia ngome dhidi ya wengine wanaoitaka ngome.
Shirima anasema, "Bob Junior aliuawa siku ya Machi 11, akishambuliwa na Simba watatu ambao walikuwa sehemu ya kundi la simba saba waliokuwa wanapanga mapinduzi.
“…kwa kawaida hatuwezi kuingilia maisha ya wanyama pori… hivyo kilichotokea kilipangwa miongoni mwao ikiwa ni vita vya kimapinduzi na simba huwa wana tabia hiyo ambapo mtawala anapozeeka hutolewa kimabavu,” alieleza
View attachment 2552588
Mie sipendi kuona wakimuua pundamilia, yule mnyama namuonaga ndio pisi ya porini....ananiuma akiliwa
Mkuu,
Upo nje ya mada,anayezungumziwa hapa ni Simba wa huko Serengeti ambaye anaitwa Bob. Siyo huyo Bob junior wa bongo flava.
Naona umesoma tittle ukajiongeza,hukutaka kusoma maelezo ya ndani. Ndiyo maana wabongo tunapigwa kwenye mikataba.
Nini tofauti ya nafsi na roho?Wana nafsi, hawana roho, roho ndo inaishi milele, anayeenda Motono/mbinguni anajua wrong anf right
Ukiwa soft unaishia kupakatwa wewe tu na hakuna Simba wa hivyo, Simba wote kazi kazi kula mzigo lazima unawalinda watoto wakikua unawafukuza wakikua zaidi wanakuja kukuua ili wazae na dada zao waliowaacha kwenye ukoo, okay fine thank youukiwa soft umeisha