Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

6C7BBA0B-B8E1-42E7-9CB2-D91C8F26D0B8.jpeg

Kumbe huu ni msiba mkubwa duniani, kifo cha Bob Junior ni trending story google.
 
RIP BJ
Alikuwa maarufu kwa rangi zake za manyoa pia kama Baba yake

Atakumbukwa daima kwa ushujaa wake
Yaani leo tunamuongelea Simba na masifa kibao

Sasa si wamzike tu kama yule mbwa wa mbunge
 
Hao Simba waliompindua na kumuua Bob-Simba inabidi wawekewe vikwazo na jumuia za kimataifa kwani utawala wao ni haramu na hautambuliki. Full stop!
[emoji1787][emoji1787]wawekewe vikwazo vya kiuchum
 
Bob Junior ni simba maarufu na kipekee hapo Serengeti,alikuwa ni mzuri kwenye wengi,alikuwa na nguvu na mtawala,ame uawa kwa kuchangiwa na Simba wa tatu.

SIMBA maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita.

Simba hao watatu waliowahi kujaribu kujisimika ufalme walilelewa na ‘Bob Junior’ tangu wakiwa wadogo lakini majaribio ya kufanya mapinduzi mara kadhaa ili kuuangusha utawala wa Bob Junior haukufanikiwa na badala yake walikimbizwa katika maeneo hayo, yaliyopo mashariki mwa hifadhi hiyo.

Simba ‘Bob Junior’ akisaidiana na kaka yake, Joel walitawala kwa zaidi ya miaka mitano na kuwa miongoni mwa Simba waliotawala kwa kipindi kirefu zaidi kabla ya kufanyika mapinduzi.

Mhifadhi Mwandamizi wa hifadhi hiyo, Fredy Shirima ameieleza kuwa tukio hilo ni asilia katika uhifadhi lakini pia hutokea zaidi kwa Simba ambao hushikilia ngome dhidi ya wengine wanaoitaka ngome.

Shirima anasema, “Bob Junior aliuawa siku ya Machi 11, akishambuliwa na Simba watatu ambao walikuwa sehemu ya kundi la simba saba waliokuwa wanapanga mapinduzi.

“…kwa kawaida hatuwezi kuingilia maisha ya wanyama pori… hivyo kilichotokea kilipangwa miongoni mwao ikiwa ni vita vya kimapinduzi na simba huwa wana tabia hiyo ambapo mtawala anapozeeka hutolewa kimabavu,” alieleza.

CHIMBUKO LA UMAARUFU WA ‘BOB JUNIOR’

Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, ni Simba aliyejibebea sifa kwa kuwa mpole na anayekuwa na utulivu anapoona watalii.

Shirima anasema, ‘Bob Junior’ pia alikuwa na sifa za kipekee kama vile kuwa na manyoya mengi zaidi kuliko simba wengine lakini mwenye kuvutia kwa muonekano na hutulia pale anapopigwa picha.

Wadau wa utalii wamesikitishwa na kifo cha simba huyo, huku ikimtaja kuwa ndiyo Simba bora na mtulivu kuwahi kuonekana katika hifadhi ya Serengeti.

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali,Tanzania ndiyo nchi yenye idadi kubwa zaidi ya simba kuliko nchi nyingine yoyote barani Afrika.

Inakadiriwa kuwa na simba 15,000 huku hifadhi ya Serengeti pekee ikiwa na takribani simba 3,000.

maxresdefault-2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bob Junior ni simba maarufu na kipekee hapo Serengeti,alikuwa ni mzuri kwenye wengi,alikuwa na nguvu na mtawala,ame uawa kwa kuchangiwa na Simba wa tatu...
Fasihi andishi katika ubora wake. Wenye asili ya Cuba ndiyo tumeelewa fasihi hii. Kongole Sana Mwanafasihi.
 
SAD NEWS…

Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera...
Hiyo ni nature yao Simba akiwa mzee huweza kuuawa na vijana ili watwae nafasi ya baba au kaka au mtemi wa Hilo pori lao .

Ila hii ni ishara mbaya kwa SIMBA SPOTR CLUB Yawezekana utawalq wake ukawa mwisho jumamosi kwa horoya (joking)
 
Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita.

Simba hao watatu waliowahi kujaribu kujisimika ufalme walilelewa na ‘Bob Junior’ tangu wakiwa wadogo lakini majaribio ya kufanya mapinduzi mara kadhaa ili kuuangusha utawala wa Bob Junior haukufanikiwa na badala yake walikimbizwa katika maeneo hayo, yaliyopo mashariki mwa hifadhi hiyo.

Simba ‘Bob Junior’ akisaidiana na kaka yake, Joel walitawala kwa zaidi ya miaka mitano na kuwa miongoni mwa Simba waliotawala kwa kipindi kirefu zaidi kabla ya kufanyika mapinduzi.
Mhifadhi Mwandamizi wa hifadhi hiyo, Fredy Shirima ameieleza BBC kuwa tukio hilo ni asilia katika uhifadhi lakini pia hutokea zaidi kwa Simba ambao hushikilia ngome dhidi ya wengine wanaoitaka ngome.

Shirima anasema, "Bob Junior aliuawa siku ya Machi 11, akishambuliwa na Simba watatu ambao walikuwa sehemu ya kundi la simba saba waliokuwa wanapanga mapinduzi.
“…kwa kawaida hatuwezi kuingilia maisha ya wanyama pori… hivyo kilichotokea kilipangwa miongoni mwao ikiwa ni vita vya kimapinduzi na simba huwa wana tabia hiyo ambapo mtawala anapozeeka hutolewa kimabavu,” alieleza

bob.jpg
 
Simba tu wanapigania madaraka sembuse African leaders wee uongozi mtamu bwana jamaa kapewa kichapo adi umauti daah wanamzika hapo au anasafirishwa[emoji23]
 
Simba maarufu Kaskazini mwa Tanzania aliyeishi katika Hifadhi ya Serengeti, ‘Bob Junior’ ameuawa baada ya kushambuliwa na kundi la Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha utawala wake, Mamlaka za hifadhi nchini humo zimethibitisha kifo hicho kilichotokea Jumamosi iliyopita.

Simba hao watatu waliowahi kujaribu kujisimika ufalme walilelewa na ‘Bob Junior’ tangu wakiwa wadogo lakini majaribio ya kufanya mapinduzi mara kadhaa ili kuuangusha utawala wa Bob Junior haukufanikiwa na badala yake walikimbizwa katika maeneo hayo, yaliyopo mashariki mwa hifadhi hiyo.

Simba ‘Bob Junior’ akisaidiana na kaka yake, Joel walitawala kwa zaidi ya miaka mitano na kuwa miongoni mwa Simba waliotawala kwa kipindi kirefu zaidi kabla ya kufanyika mapinduzi.
Mhifadhi Mwandamizi wa hifadhi hiyo, Fredy Shirima ameieleza BBC kuwa tukio hilo ni asilia katika uhifadhi lakini pia hutokea zaidi kwa Simba ambao hushikilia ngome dhidi ya wengine wanaoitaka ngome.

Shirima anasema, "Bob Junior aliuawa siku ya Machi 11, akishambuliwa na Simba watatu ambao walikuwa sehemu ya kundi la simba saba waliokuwa wanapanga mapinduzi.
“…kwa kawaida hatuwezi kuingilia maisha ya wanyama pori… hivyo kilichotokea kilipangwa miongoni mwao ikiwa ni vita vya kimapinduzi na simba huwa wana tabia hiyo ambapo mtawala anapozeeka hutolewa kimabavu,” alieleza

View attachment 2552588
mila hiyo wasukuma kumbe wameiga kwa simba!
Anae bisha aende vingunguti machinjioni aone wazee wa kisukuma hawataki kwemda usukumani.....
 
Ok,
Baba yake na Bob Junior aliitwa Bob.
C-Boy yeye alikuwa na bifu na kundi jingine la simba wanne wanaojulijana kama the killers, C-Boy alikufa pekeyake kwa uzee.
 
Mkuu,

Upo nje ya mada,anayezungumziwa hapa ni Simba wa huko Serengeti ambaye anaitwa Bob. Siyo huyo Bob junior wa bongo flava.

Naona umesoma tittle ukajiongeza,hukutaka kusoma maelezo ya ndani. Ndiyo maana wabongo tunapigwa kwenye mikataba.

[emoji16]
 
ukiwa soft umeisha
Ukiwa soft unaishia kupakatwa wewe tu na hakuna Simba wa hivyo, Simba wote kazi kazi kula mzigo lazima unawalinda watoto wakikua unawafukuza wakikua zaidi wanakuja kukuua ili wazae na dada zao waliowaacha kwenye ukoo, okay fine thank you
 
Back
Top Bottom