SIMBA CHAGUENI MOJA KUISAPOTI YANGA ISHINDE MCHEZE KLABU BINGWA AMA AZAM ISHINDE MCHEZE SHIRIKISHO

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana iyo simba wachague upande kujielekeza kibra ni moto kote kote!
Kazi kwao
 
Mimi nitawashangaa tu kama wataishangilia timu iliyowatoa kwenye hatua ya nusu fainali!

Na kama wataamua kwa makusudi kabisa kuishangilia AzamFc! Na kwa sababu nitakuwepo hapo Mkwakwani, basi hapo hapo uwanjani baada ya mchezo kumalizika, nitaongoza mwenyewe harambee ya kumjengea sanamu Mzee mwenzangu Ismail Ade Rage.
 
Waropokaji wapo kwenu futa kauli yako isiyo na adabu, kuitwa kolo kusiwafanye mkabehave kama jina lenu tafadhali!
Najua imekuingia. Sometimes upost vitu humu ukiwa umetumia akili. Sio kuokoteza post za vilaza wenzio fb, hili sio dampo la Utopolo.
Watu wa Yanga baadhi yenu jitahidini kuficha upumbavu wenu
 
hoja ndio hii ndugu 👉hujui kitu nimekwambia,hujui alafu unajifanya unajua hata ukijuzwa bado auelewi.

mama Samia tafuta mwarabu uuze hii chura 👉 Mtanzanias

Hili bumunda Mtanzanias sindhani kama litakuwa na soko..labda samia alitoe kama nyongeza kwa waarabu walio nunua Bandari.
 
Mkishashiba mihogo yenu mnakuja kujamba jamba humu
 
Umechelewa sana kuendesha hiyo harambee
 
Kama ndio hivyo kesho bora tupigwe tu,ikiwezekana licheze benchi la ufundi.
 
sisi yanga tumeamua azam ishinde ili makolo wacheze shirikisho kombe dhaifu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…