Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana yaani tumejitahidi mpaka tunachoka.Kwani ili uwe yanga lazima usiwe na akili kwanza?
msing'ang'anie kwa mabingwa nyie ni kwa maluza huko."Kama ikitokea Yanga SC bingwa wa aza fedaration nafasi yake inabidi apewe nafasi ya tatu kwakuwa nafasi ya kwanza na pili wanaenda CAF CHAMPION.
Kusema kwamba nafasi ya tatu ni Azam FC lakini kwa nafasi yate tunapeleka team 4 na azam yeye tayari anasifa ya kwenda SHIRIKISHO hiyo nafasi inaapewa timu ya nne ambayo ni Singida BS
Kama Azam FC anakuwa bingwa ataenda kama bingwa wa kombe la AZAM FEDERATION alafu nafasi ya ligi inachukuliwa na Singida Big Stars
KLABU BINGWA
YANGA [emoji736]
SIMBA[emoji736]
SHIRIKISHO
AZAM [emoji736]
SINGIDA[emoji736]
Pasi kujali matokeo ya kesho"...
Wameishangilia Wydad Casablanca ndio sembuse Azzam? Hao ndio makolo.Mimi nitawashangaa tu kama wataishangilia timu iliyowatoa kwenye hatua ya nusu fainali!
Na kama wataamua kwa makusudi kabisa kuishangilia AzamFc! Na kwa sababu nitakuwepo hapo Mkwakwani, basi hapo hapo uwanjani baada ya mchezo kumalizika, nitaongoza mwenyewe harambee ya kumjengea sanamu Mzee mwenzangu Ismail Ade Rage.
Kwenye hili mnawaonea Simba bure tu, yule mwendawazimu Manara ndio alianza kuwaita Simba wanacheza kombe la loser.msing'ang'anie kwa mabingwa nyie ni kwa maluza huko.
Safari hii mkuki uje kwenu muone uchungu wa kuitwa luza mbafu tu.
Yaani uwe bingwa wa shirikisho ukacheze club bingwa?kweli uto ni uto tu nafuu haionekani.Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana iyo simba wachague upande kujielekeza kibra ni moto kote kote!
Kazi kwao