SIMBA CHAGUENI MOJA KUISAPOTI YANGA ISHINDE MCHEZE KLABU BINGWA AMA AZAM ISHINDE MCHEZE SHIRIKISHO

Halafu we jamaa ndo umefungua na Uzi Kule twitter
 
Makolo yanastress yanaruka na kukanyagana yanamshambulia mtoa mada kea hasira kali.
 
"Kama ikitokea Yanga SC bingwa wa aza fedaration nafasi yake inabidi apewe nafasi ya tatu kwakuwa nafasi ya kwanza na pili wanaenda CAF CHAMPION.

Kusema kwamba nafasi ya tatu ni Azam FC lakini kwa nafasi yate tunapeleka team 4 na azam yeye tayari anasifa ya kwenda SHIRIKISHO hiyo nafasi inaapewa timu ya nne ambayo ni Singida BS

Kama Azam FC anakuwa bingwa ataenda kama bingwa wa kombe la AZAM FEDERATION alafu nafasi ya ligi inachukuliwa na Singida Big Stars

KLABU BINGWA
YANGA [emoji736]
SIMBA[emoji736]

SHIRIKISHO
AZAM [emoji736]
SINGIDA[emoji736]

Pasi kujali matokeo ya kesho"...
 
msing'ang'anie kwa mabingwa nyie ni kwa maluza huko.

Safari hii mkuki uje kwenu muone uchungu wa kuitwa luza mbafu tu.
 
Wameishangilia Wydad Casablanca ndio sembuse Azzam? Hao ndio makolo.
 
msing'ang'anie kwa mabingwa nyie ni kwa maluza huko.

Safari hii mkuki uje kwenu muone uchungu wa kuitwa luza mbafu tu.
Kwenye hili mnawaonea Simba bure tu, yule mwendawazimu Manara ndio alianza kuwaita Simba wanacheza kombe la loser.

Yule kichaa Yanga imuweke mbali sasa kuliko kuendelea kumkumbatia, kama GSM wanampenda sana wampe kazi kwenye makampuni yao au kwenye maduka yao.
 
Yaani uwe bingwa wa shirikisho ukacheze club bingwa?kweli uto ni uto tu nafuu haionekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…