Kule Afrika Kusini, Ligi kuu inadhaminiwa na Dstv. Mmiliki wa dstv ni Multichoice. M/kiti wa bodi ya Multichoice ni Imtiaz Patel ambaye ni M/Kiti wa bodi ya Supersport Utd, ambayo ipo ligi hiyo hiyo inayodhaminiwa na dstv
CEO wa Supersport Utd ni Marc Jury ambaye pia ni CEO wa supersport bidhaa na mjumbe wa bodi ya Multichoice
Wajumbe walioidhinisha udhamini wa dstv ndio hao hao mabosi wa Supersports Utd, achilia mbali huyu Hersi ambaye yupo kwenye kamati za usajili tu
Maofisa wengi wa kampuni ya Multichoice (dstv wadhamini wa ligi kuu Afrika Kusini) ndio maofisa wa klabu ya supersport. Mbona hutajasikia malalamiko Afrika Kusini