Simba chagueni moja, msituchanganye

Simba chagueni moja, msituchanganye

TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM?

Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh?

Sasa chagueni moja mjadala uishe;

1. Kuleta timu uwanjani Jersey zenu zikiwa na Nembo ya boss mkubwa au msuse (Mmepata pa kujificha kuogopa aibu ya kipigo cha mbwa mwizi).

2. Muendelee kuamini Mapopoma wenu wanaoongozwa na GENTAMYCINE na genge lake la wachawi wanaowaaminisha kwamba mtashinda kichawi mbele ya Yanga (wanaomtegemea Mungu) au kumtegemea Mungu.

3. Kuandika barua kwa bodi ya ligi ili isogeze derby iwe mwakani ambapo mtakuwa mmesajili au mlete vikongwe wenu mpate aibu aibu ya kufunga mwaka.

4. Kama hamtaki kuvaa Nembo rudisheni hela za boss🤣🤣🤣

Mdau ongeza chaguzi zingine ili iwe rahisi kuwapa wigo mpana wa kuchagua (OPTIONS)Kilicho bora zaidi.
Wewe Ni mjinga unaeelekea kuwa mpumbavu.

Kwamba Jana nilitenda uhalifu hamkunikamata leo nimefanya uhalifu mwingine, kwanini mnanikamata wakati Jana nilipotenda hamkunikamata.

Hiyo ndiyo HOJA yako. Zuzu km zuzu! Hamna akili.
 
Naona unawashwa sana.Vumilia dadangu jumamosi siyo mbali utakunwa tu vzuri.
 
Huyo Tumbili jesemu kama amekosa sehemu ya kuweka hiyo nembo yake akaweke kwenye chupi ya manara au kwenye mwiko uliopo nyuma ya WANAUTOPOLO.

Asituletee ukabwili hapa.

Screenshot_20211208-170503_Instagram.jpg
 
Tipico ni kampuni ya Kamari, imeidhamini Bundesliga kupitia DFB, Hambarg SV na Bayern Munich. Ni kawaida. Hizi Ni biashara kama biashara nyingine

Kwanini kwa Hersi na GSM iwe nongwa!?
Dfb ni benki mkuu fanya utafiti vizuri
 
Hawa ni wapuuzi tu ni genge fulani hivi la wahuni wanaleta porojo za kupotezeana muda tu, wanasema awakushirikishwa sijui mikataba yote ya wadhamini ya tff uwa wanashirikishwa?

Na ili kujua kwamba hoja zao hazina mashiko kwenye andiko lao wameilenga gsm na yanga wakati mkataba ni baina ya gsm na tff, gsm ni kampuni inayojitegemea na aimiliki timu yoyote ligi kuu ivyo hoja ya mgongano wa kimaslahi haina mashiko.

Halafu Kama wanakataa kuvaa nembo ya gsm basi na wao wamwambie mo awake mzigo wa udhamini atangaze viberiti vyake na yeye logo yake iwekwe kwenye jezi zaidi ya hapo mi naona ni ujinga wa hawa mbumbumbu ambao wivu unawasumbua dhidi ya gsm ambao wanaona Kama vile wamekuwa tishio kwao
Utopolo waheed
 
Tipico ni kampuni ya Kamari, imeidhamini Bundesliga kupitia DFB, Hambarg SV na Bayern Munich. Ni kawaida. Hizi Ni biashara kama biashara nyingine

Kwanini kwa Hersi na GSM iwe nongwa!?
....Baelezeee hao makolo FC.. wakijibu hizi nondo ulizoshusha hapa kuhusu udhamini wa South Africa, German na France pls nitag mwananchi mwenzangu
 
....Baelezeee hao makolo FC.. wakijibu hizi nondo ulizoshusha hapa kuhusu udhamini wa South Africa, German na France pls nitag mwananchi mwenzangu
Hawana watu wa kujibu kwa Hoja bali wana waropokaji tu
 
TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM?

Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh?

Sasa chagueni moja mjadala uishe;

1. Kuleta timu uwanjani Jersey zenu zikiwa na Nembo ya boss mkubwa au msuse (Mmepata pa kujificha kuogopa aibu ya kipigo cha mbwa mwizi).

2. Muendelee kuamini Mapopoma wenu wanaoongozwa na GENTAMYCINE na genge lake la wachawi wanaowaaminisha kwamba mtashinda kichawi mbele ya Yanga (wanaomtegemea Mungu) au kumtegemea Mungu.

3. Kuandika barua kwa bodi ya ligi ili isogeze derby iwe mwakani ambapo mtakuwa mmesajili au mlete vikongwe wenu mpate aibu aibu ya kufunga mwaka.

4. Kama hamtaki kuvaa Nembo rudisheni hela za boss🤣🤣🤣

Mdau ongeza chaguzi zingine ili iwe rahisi kuwapa wigo mpana wa kuchagua (OPTIONS)Kilicho bora zaidi.
Kuongea rahisi sana mdau ila kutenda unachokitaka sahau
 
We unaetetea nembo ya gsm ikae kwenye bega ulishaona wapi mdhamini mwenza anakaa kwenye bega mwaka jana kbc bank walikua wapo kwenye mabango ya uwanja tu..kwenye jezi ni mdhamini mkuu na wadhamini wa vilabu mfano simba lulia nbc kushoto emiratea aluminium jiesiemu atakaa wapi..kumbuka simba kalipwa milioni 300 kutangaza nembo ya biashara za emarates aluminium..mnataka asihoji kitu asichokijua kimekujaje kama hujui kitu ni dhambi kuhoji..conflicts of interest mnaelewa maana yake..umuhimu wa mikataba kutangaza branda za watu watazifidiaje...hao wengine kukaa kimya hailalashi kuwa tff na gsm wapo sahihi..ila kwa kifupi nembo haivaliwi..hakuna wakuitoza fain simba wala hakuna wa kuishusha daraja..na pia nembo ya gsm haitokuepo kwenye bango lolote mule ndani..itakua hivyo
 
Nyie ni mataahira tu, Manara ni brand ambasador wa gsm ulitaka asiwepo? Eng, hersi ni mkuu wa idara ya uwekezaji gsm mlitaka asiwepo? Kwaiyo nyie siku izi mnawapangia watu na kampuni zao waendesheje taasisi zao? Kuwepo kwao yanga aiwazuii kutofanya shughuli walizopangiwa na mwajiri wao eti kwasababu wapo yanga, kwani wakati Gharibu anamuajiri hersi alikuwa anajua atakuja kuchaguliwa kuingia kwenye kamati ya utendaji ya yanga? Au wakati anamuajiri alijua kuna siku ataidhamini ligi kuu? Sababu za ovyo ovyo izo hazina mashiko kwa mtu mwenye akili timamu
mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki? Hakuna anayekataa udhamini wa GSM Ila wapi umeona nembo za kit suppliers wawili kwenye jezi moja?mbona mmekuwa wapumbavu sana
 
Mkataba ni kati ya GSM na TFF tu basi.
Simba inaingiaje hapo
Screenshot_20211209-053742_Instagram.jpg
 
Hoja za Simba ziko wazi kabisa yanga kwenye hili hamuhusiki Simba inahitaji ufafanuzi Kanuni ipi inalazimisha mdhani mwenza akae kwenye jezi?
 
Naona unawashwa sana.Vumilia dadangu jumamosi siyo mbali utakunwa tu vzuri.
Hiyo jumamos kwetu sisi ni mechi km mechi nyingine.

Tuna na mechi za makundi CAF kuiwakilisha nchi, kutetea nafasi 4 Tena za uwakilishi. Wee unawaza mechi moja. Sisi tunawaza ubingwa wa ligi kuu na confederation cup.

Simba Ni timu ya malengo makubwa.

BINT SAYUNI umenielewa.
 
Back
Top Bottom